MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Naona rufaa yao imekwama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeee, imetosha sasa arudi kulea watoto wake.
Kivipi?Weeee, imetosha sasa arudi kulea watoto wake.
Nimeona hapo juu kuhusu rufaa yake km imebuma, ningependa ashinde ni muda sasa.Kivipi?
Ellmu, Elimu, Elimu
DAAH hii familia ndo walifungwaa maishaa...aiseee
Hiyo ndio imetoka tena.... sijui ukishindwa mahakama ya rufaa kuna nafasi gani tena?Nimeona hapo juu kuhusu rufaa yake km imebuma, ningependa ashinde ni muda sasa.
....Msije tu wiki ijayo mkatuambia kumbe kilichokamatwa sio Heroin bali Unga wa Dengu bibie alikuwa anataka kumpikia mumewe visheti !! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana kwa ushahidi uliyotolewa mahakamani mzigo ni wa kwao wote siyo wa mume peke yake kama unavyosema, kasome kesi ipo mtandaoni acheni story za vijiweniHapo ni roho mbaya tu za waafrika huyo mwanamke anapaswa aachiwe huru. Sheria za hovyo sana hizi kumfunga mwanamke kisa kosa la mume.
Hawafai kabisa huo ndio ukweliWatu kama hawa wangetakiwa kunyongwa kabisa....na sio kuwafunga maisha.....hawa ni zaidi ya mashetani.....tamaa zao za hela wamezielekeza kwenye kutuharibia vijana wetu....
Kila nikiwaona vijana walioathirika na dawa za kulevya ndio nazidi kupata uchungu na hawa mashetani........
Na ni mchunguHawafai kabisa huo ndio ukweli