Wote walio nunua ibubu vyake watakuwa wamesema Ameen..Daaah na kibubu challenge!!
Ila haya maisha bwana aaah to stay low key sometimes is better
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote walio nunua ibubu vyake watakuwa wamesema Ameen..Daaah na kibubu challenge!!
Ila haya maisha bwana aaah to stay low key sometimes is better
Kama Yale maunga ya masogange tuliambiwa sijui ni madawa ya kutengeneza nini huko jamani,baada ya siku kadhaa tunamuona mrembo anatupostia mapicha akiwa na mahela ya kila nchi mpaka udenda unatutoka......kweli Jk una haki ya kumisiwa na Hawa watu amna namna.Bana we🤣🤣🤣 kipindi ya kikwete hadithi Hizo sana tena wanamalizia"tunaomba radhi Kwa mtuhumiwa kwa usumbufu aliopata na kusababisha asile visheti vyake"
Yessss sasa Mwamvuta Makamba nimesoma nae darasa moja kpnd Mzee Makama RC Morogoro. Alikuwa dada mmoja simple sana ghafla mujii ukambadilisha hahahaaa mjini siji ng'ooooo acha nibaki Matombo.
Emba bado yumo ndani? Ndio maana nyandu naona kama kapoa hivi, na damon dash yeye vp?huu msimu kupata mdhamana tu ni msala hasa kwa dili hizo na uhujumu uchumi
Namkumbuka mwanangu Emba bortion
Ni kweli emba alikuwa ni punda?Mama yake yuko ndani na siku ile emba anakamatwa sisi tulikuwa pembeni tunakunywa pombe
Emba ndy alimponza mama yake
Mama alingilia kuzuia emba asidakwe
Ndy varaganti ikatokea
Mama na mwana wote wakangolewa
Sisi tulitulia tuli tunaendelea na kinywaji
Walipigwa sana mama na mtoto
Ila kuna watu wakasema sijui nani alishuka kutoa amri wakamatwe lkn syo kweli
Ule mchezo mwanzo mwisho tulkuwepo
Na wiki nzima walikuwa wanafatiliwa
Ndomana pale saloon kuna mpaka madem walikuwa wanajifanya Kuja Sukari kmbe wanawasoma tu
So mama na mtoto wako ndani mpaka sahv
Ova
Nampata sana emba, ni kweli alikuwa punda?Sisi wenyewe tuliambiwa tutulie tusiguse sim Dah si unajua wajanja wa kusoma mchezo tukashtuka kuwa hapa ni ambush wanapigwa mtu
Ova
Mtu mrefu dash anaishi kwa madibaEmba bado yumo ndani? Ndio maana nyandu naona kama kapoa hivi, na damon dash yeye vp?
Halafu KIKI huyo huyo ndio alikuwa matron kwenye harusi yake mange lakini bado mange akamuibia idea ya kazi mwenzake, ila kina Kiki na mumewe nao baada ya mange kuzidi kuwachokonoa wakamchokonoa vyema na ndoa yake ikafa..wadada wa mjini kazi kweli kweli.Dada wa USA alikwenda kumuaga Kiki wakati anaondoka kumfuata mumewe USA, alishinda kwenye boutique. Khe si amefika USA akafungua Bongolicious design nyingi zilikuwa za boutique.
Huwa ninajiuliza Kiki angekuwa anaishi USA angekuwaje mdada ana class yuleHalafu KIKI huyo huyo ndio alikuwa matron kwenye harusi yake mange lakini bado mange akamuibia idea ya kazi mwenzake, ila kina Kiki na mumewe nao baada ya mange kuzidi kuwachokonoa wakamchokonoa vyema na ndoa yake ikafa..wadada wa mjini kazi kweli kweli.
Ndio Ndito eti ukikaa na funguo utapata hamu ya kufungua utumie hela zako, vibubu mnafungua December na kila mmoja anasema aliweka lengo la KUBUBU ngapi na amefikia lengo, amevuka lengo au hajafikia lengo? Unakuwa MALKIA na wewe.anakuuzia kibubu alafu ufunguo unamuachia?
Mtoto mmja mjinga sanaNampata sana emba, ni kweli alikuwa punda?
Serereka mkuu tumjue vizuriNdiyo raha ya maisha ya maigizo. Shamimu akitoka jela atarudia kuzungumza lugha yake ya nyumbani (Kiswahili) na kuishi maisha ya kawaida kama awali. Alikuwa fake mno.
Safi sana ,wameharibu nguvu kazi kubwa sana ya taifaMamalaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya imemtia nguvuni Abdulndinda na mkewe jijini dar wakiwa na heroin kilo kadhaa.
Hivi hawa jamaa hawajui hiyo biashara hailipi kwa sasa?
Ni bora pesa haramu waliopata wangeibadilishia biashara kuliko sasa wanafilisiwa hata walichokusanya,shit
Sana kuna wakati waligombana na mumuewe, mumewe alioa kwa siri Mange kama kawa akajua akavujisha na kuwa na hash tag ya BI MDO... wakashupaza shingo Kiki amuache mumewe walitengana tu na wala hakuwa anamsema vibaya mumewe, wakimuhoji wambea anawajibu ni baba wa mtoto wangu na tuna mss sana, baadae wakarudiana wakaongeza na mtoto washambea kina mange likawashuka..Huwa ninajiuliza Kiki angekuwa anaishi USA angekuwaje mdada ana class yule
Unamfahamu humjuiMange nae kwa visa. Huyu dada kasoma mkwawa high school 1997-1999 life yake ilikua ya kawaida akiwa na gruop lake la G6 dadas na alikua social sana. Alipomaliza alijutahid kujikwamua nakumbuka aliajiriwa ktk mojawapo ya kampuni za Mengi.hakuja mjini kwa lori alishakua wa mjini kitambo.
Hili la madawa limenishtua hakua mtu wa tamaa hizo.
Mange ni chizi maarifaSana kuna wakati waligombana na mumuewe, mumewe alioa kwa siri Mange kama kawa akajua akavujisha na kuwa na hash tag ya BI MDO... wakashupaza shingo Kiki amuache mumewe walitengana tu na wala hakuwa anamsema vibaya mumewe, wakimuhoji wambea anawajibu ni baba wa mtoto wangu na tuna mss sana, baadae wakarudiana wakaongeza na mtoto washambea kina mange likawashuka..
Kama wanauza hiyo kitu ,wametendewa hakiLbda ufaham jambo moja kuwa wanachofanya mamlaka wakiwa wanajua unauza unga hata kama ni Nairobi na sio dar na kila wakikutfta wanaona hawakupati basi wanakubambikia Mzigo. Ni kweli hao wahusika wanauza ngada lkn sio kupitia dar
Hapo sasa.. na siamini kama Abdul alikua anaendelea na hiyo biashara. Baada ya masekeseke yote alibadilika kabisa.
Serereka mkuu tumjue vizuri