Asante kaka. Hatari ile sikosagi kuangalia maana dah jamaa wana hela balaa.National Geographic Channel
hyo ni nguvu kaz ya taifa inapotea bure tu wangepigwa faini tu kubwa vjana waendelee na maisha mengine.Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin .
Pia mahakama hiyo imetoa amri ya kutaifisha mali za Wahukumiwa ikiwemo gari aina ya Discover 4 ili liwe mali za Serikali, huku dawa hizo zikitakiwa kuteketezwa.
Hukumu ya kesi hiyo namba 4 ya mwaka 2020, imetolewa Jaji Elinaza Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili kati ya Jamhuri na Utetezi na kujiridhisha kwamba Watuhumiwa wamekutwa na hatiani katika makosa mawili ya usafirishaji dawa za Kulevya.
Wawili hao walishtakiwa baada ya kudaiwa Mei Mosi, 2019 wakiwa eneo la Mbezi Beach, Wilaya ya Kinondoni, jijini DSM kinyume na sheria ya uhujumu uchumi walikutwa na dawa hizo.
Ikumbukwe hapa JF kupitia Member wake wanawafahamu fika.
Pia soma
Ila mbele adhabu zao miaka 38 hadi 14 na wasema kabisaz kama mwenendo wa mfungwa nzuri adhabu hufupishwa zaidi. Huwa naangali NGC.. huyu Bwana Abdul itakuwa ameyakoroga alivyokili huenda alifunguka mengi sana na ya ajabu ndio maapana kapigwa hiyo hukumuNational Geographic Channel
Sema huyu mama aliturusha roho jamani khaa[emoji134]Mmh kuna muda tusiwape lawama wengine
Shamimu alikuwa hauzi ila ana shirikiana na mume muuza unga
Hukumu ni kali ila tusitafute wa kumlaumu
una uhakika gani ??Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Ndio ni don toka zamani,lakini hapo ishu ni kiasi alichokutwa nacho hata nusu kilo haifikiHuyu ni Don kitambo sana
Na vibubu vya mamilioni kwa wiki hahahSema huyu mama aliturusha roho jamani khaa[emoji134]
TawireTatizo misemo ya "woga wako ndio umaskini wako" siku hizi wadada wanaishadadia sana.
Msichana yuko tayari kukuona hata unaua ili mradi uwe na pesa,na utapendwa kama malaika.
Thamani ya utu wa mwanamke imeshuka kwa sababu ya wao kujifanya bidhaa inayoweza kununuliwa kwa pesa bila kujali ni za majini,mizimu au za damu.
Acheni kumsingizia Zeze,baba Iqra alioa mlitaka afanyeje!Uadilifu ni jambo muhimu...alimuacha mme wa kwanza kwa tamaa tu na kuolewa tena,what goes around comes around.
Mke wangu wa ndoa aliondoka kwa mbwembwe leo anaugua kila muda anaita jina langu...huyo dada analipa sasa.
Hakuna maisha baada ya kifo, malipo ni hapa hapa kabda hujalala
Mtu mrefu jiiiiiKatika kitu nachosifu serikali ni kwenda sawa na wauza unga. Hivi kabaki nani?
Wakupe hela za kilo 10 tu , wakuache uendelee na safari zako πππAsante kaka. Hatari ile sikosagi kuangalia maana dah jamaa wana hela balaa.
Watu wananunua kisiwa ili iwe transit port ya kusafirisha mzigo.
Cocaine kilo $50,000 alafu mtu anasafirisha mzigo wa kilo 300...hapo ngachoka kabisa. Sex party zao ndio usisema kabisa.....natamani mzabzab wanialike nikafaidi mema ya dunia
DohhhWale vijana rafiki zao aunty ezekiel na wema kina allu mulugwa. Said mbasha,Joseph dalidali na fetty waliokamatwa na kg 31 heroin wajiandae kula mvua ya maisha. Maana nsembo na pesa sake zote kashindwa kuchomoka wao makapuku na mzigo mkubwa waliokutwa nao.
Alaa kumbe alikuwa mke wa mutu ingine akafuata mihela? Mmm pole yao ila ukiwa unaishi hapa duniani nafasi ipo ukitambua makosaBe responsible, si kila makosa ya mwanaume lazima zigo atupiwe mwanamke. Angeweza kuchagua njia nyingine sahihi.
Hizo ni tabia ya kuwa over ambitious, umiliki kila kitu kizuri kuanzia mke, nyumba, magari, umwamba, heshima etc. Ndizo huwapekelea watu kujiingiza katika biashara hizi.
Tabia ya kuwa over ambitious zipo kwa jinsia zote ndio maana kila leo watu hufanya mambo illegal ili wapate pesa nyingi, Shamimu ni mdada wa mjini hasa, alimuacha mume wake wa mwanzo ili aolewe na Abdul, wote walioana wanapenda makubwa kwa njia yoyote ile, here we are.
Wewe hujapata mwathirika kwenye familia yako ndio maana wasema hivyo. nachelea kusema mwombe sana Mungu yasikukute ndugu yangu.Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Mno jamani..ukilala unaamka sanane usiku unawaza unakwama wapi[emoji28]Sema huyu mama aliturusha roho jamani khaa[emoji134]
π€£π€£π€£π€£ Mie wala sina shida ya hizo hela mie wanialike tuu kwenye hizo sex party waniambie kijana mbususu ndio kama hivyo unaziona wee sasambua unavyotaka basi. Hela wakae nazo.Wakupe hela za kilo 10 tu , wakuache uendelee na safari zako πππ
Watoto wanavyojuaga kubully wenzao huko shule wasikie wazazu wao ni wafungwa watabuliwa Hadi wakome
Tutaaminije kama Makonda ndio kawabambikia kesiInauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.