Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

National Geographic Channel
Asante kaka. Hatari ile sikosagi kuangalia maana dah jamaa wana hela balaa.
Watu wananunua kisiwa ili iwe transit port ya kusafirisha mzigo.
Cocaine kilo $50,000 alafu mtu anasafirisha mzigo wa kilo 300...hapo ngachoka kabisa. Sex party zao ndio usisema kabisa.....natamani mzabzab wanialike nikafaidi mema ya dunia
 
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin .

Pia mahakama hiyo imetoa amri ya kutaifisha mali za Wahukumiwa ikiwemo gari aina ya Discover 4 ili liwe mali za Serikali, huku dawa hizo zikitakiwa kuteketezwa.

Hukumu ya kesi hiyo namba 4 ya mwaka 2020, imetolewa Jaji Elinaza Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili kati ya Jamhuri na Utetezi na kujiridhisha kwamba Watuhumiwa wamekutwa na hatiani katika makosa mawili ya usafirishaji dawa za Kulevya.

Wawili hao walishtakiwa baada ya kudaiwa Mei Mosi, 2019 wakiwa eneo la Mbezi Beach, Wilaya ya Kinondoni, jijini DSM kinyume na sheria ya uhujumu uchumi walikutwa na dawa hizo.

Ikumbukwe hapa JF kupitia Member wake wanawafahamu fika.

Pia soma
hyo ni nguvu kaz ya taifa inapotea bure tu wangepigwa faini tu kubwa vjana waendelee na maisha mengine.
 
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
una uhakika gani ??
 
Tatizo misemo ya "woga wako ndio umaskini wako" siku hizi wadada wanaishadadia sana.

Msichana yuko tayari kukuona hata unaua ili mradi uwe na pesa,na utapendwa kama malaika.

Thamani ya utu wa mwanamke imeshuka kwa sababu ya wao kujifanya bidhaa inayoweza kununuliwa kwa pesa bila kujali ni za majini,mizimu au za damu.
Tawire
 
Uadilifu ni jambo muhimu...alimuacha mme wa kwanza kwa tamaa tu na kuolewa tena,what goes around comes around.
Mke wangu wa ndoa aliondoka kwa mbwembwe leo anaugua kila muda anaita jina langu...huyo dada analipa sasa.
Hakuna maisha baada ya kifo, malipo ni hapa hapa kabda hujalala
Acheni kumsingizia Zeze,baba Iqra alioa mlitaka afanyeje!
 
Hawa ndo wanaojifanyaga ma-husttler na wenzao wooote waonekane wajinga, kumbe wauza ngada watupu....ila daah inamaana hiyo k haitumiki tena inaenda kuwekwa ndani maisha, seriously?
 
Asante kaka. Hatari ile sikosagi kuangalia maana dah jamaa wana hela balaa.
Watu wananunua kisiwa ili iwe transit port ya kusafirisha mzigo.
Cocaine kilo $50,000 alafu mtu anasafirisha mzigo wa kilo 300...hapo ngachoka kabisa. Sex party zao ndio usisema kabisa.....natamani mzabzab wanialike nikafaidi mema ya dunia
Wakupe hela za kilo 10 tu , wakuache uendelee na safari zako 😀😀😀
 
Wale vijana rafiki zao aunty ezekiel na wema kina allu mulugwa. Said mbasha,Joseph dalidali na fetty waliokamatwa na kg 31 heroin wajiandae kula mvua ya maisha. Maana nsembo na pesa sake zote kashindwa kuchomoka wao makapuku na mzigo mkubwa waliokutwa nao.
Dohhh

Ova
 
Be responsible, si kila makosa ya mwanaume lazima zigo atupiwe mwanamke. Angeweza kuchagua njia nyingine sahihi.

Hizo ni tabia ya kuwa over ambitious, umiliki kila kitu kizuri kuanzia mke, nyumba, magari, umwamba, heshima etc. Ndizo huwapekelea watu kujiingiza katika biashara hizi.

Tabia ya kuwa over ambitious zipo kwa jinsia zote ndio maana kila leo watu hufanya mambo illegal ili wapate pesa nyingi, Shamimu ni mdada wa mjini hasa, alimuacha mume wake wa mwanzo ili aolewe na Abdul, wote walioana wanapenda makubwa kwa njia yoyote ile, here we are.
Alaa kumbe alikuwa mke wa mutu ingine akafuata mihela? Mmm pole yao ila ukiwa unaishi hapa duniani nafasi ipo ukitambua makosa

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Watoto wanavyojuaga kubully wenzao huko shule wasikie wazazu wao ni wafungwa watabuliwa Hadi wakome

Laiti watu wangejua kuwa sheria ya madawa ya kulevya(biashara haramu) ni hatari kuliko hata biashara yenyewe wasingelithubutu hata kuwakaribia watu wanaodhani au kuhisi wanafanya biashara hii!

Hii sheria ni hatari si kitoto ukiisoma unaweza kuogopa maana hata ukifungwa haichi hata urithi kwa watoto wala wajukuu,,,,yani mali zote zinazo kuhusu zinachukuliwa zote
 
Back
Top Bottom