Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Umeongea point kweli....haya mambo ya shotcut au kutaka upige hela ili uje umfirahishe mwanamke unaweza jikuta unaingia sehemu siyo

Ova
Hapo asisingiziwe mwanamke, ni tamaa yake mwenyewe, ukitongoza mwanamke mpenda pesa si unamwacha unatafuta mwingine ? Wanaume waache ujinga tu wasisingizie wanawake, bali akili zao hazina akili !

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Unataka kusema kwamba hawakupewa nafasi ya mitigation, baada ya kuwa convicted? Mitigation inatolewa ukiwa convicted, kabla ya sentence. Hawawezi kumitigate at appeal level.
 
🀣🀣🀣🀣 Mie wala sina shida ya hizo hela mie wanialike tuu kwenye hizo sex party waniambie kijana mbususu ndio kama hivyo unaziona wee sasambua unavyotaka basi. Hela wakae nazo.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ vitu vile vya Latino , Colombia, Spaniola , Brazilian .. mbona utapagawaaa aseee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukiona Mungu amekuepusha na kitu fulani we shukuru tu maana huwezi kujua ni nini hasa kingekutokea baadae yaani kwenye kila jambo mtangulize Mwenyezi Mungu yeye ndio anajua hatima ya maisha yako ya sasa na ya baadaye. Nimewahi kulala porini siku tatu bila msosi nakunywa tu maji na maji yenyewe ni yale ambayo wanyama wanayanywa plus ndorobo lakini Mungu ni mkubwa. Ni historia ya ukweli kuhusu mimi hata huyo manzi aliyegeukwa hakuyajua haya kama yangemtokea mwenzie aliyemgeuka kwa Bwana yake.
 
Huyo Mboni alivyopokonywa alilia balaa, na kufosi juu arudiwe[emoji16], unaona sasa kumbe alikuwa anaepushiwa na jela la maisha, hii inatufundisha ukiona jambo limegoma achana nalo ukilazimisha yatakukuta makubwaa
Shamim mwenyewe alimkimbia mme wake
AkamfTa nsembo alimuona jamaa wake wa kwanza fala tu

Ova
 
Kumbe
 

Anaweza kupunguziwa kama wakiona kweli kuna sababu za msingi lakini kama wakiona sababu sio za msingi na watoto wanaweza lelewa na ndugu na mama kweli alishiriki hii biashara hata wakikutana majudge wa mahakama ya rufaa hawata chomoka!

Hii sheria ni hatari kuliko biashara ya madawa yenyewe asikwambia mtu sema watu hawaogopi!
 

Amechuja hapo.
 
Nasemaga kila siku watu wakae mbali na madawa au kama unamjua mtu anafanya biashara hii unaambatana naye,utapoteaaa
Hii sheria kali sanaaa

Ova
 

Sasa una hakika hayo uliyo yaandika yalitokea?
 
...Ndio nami ninapochoka hapo Mkuu! Gramu chache hizo alizokamatwa Nazo ndio kifungo cha Maisha???
Hawa yunaowasikia kuwa wanavusha kwa magunia na makonteina?
Noma sana grma 30 amekula mvua zote ,sasa wale waliokamatwa na 30kg??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…