Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Kama unawatetea vile
Ana hoja ya msingi, wakubwa wanaoshiriki wizi wa mabilioni ya umma wapo uraiani na maisha ya bata kama kawa... Mfano waliogawana mabilioni kutoka Mkombozi Bank na issue mpaka ikatua mjengoni si wapo mpaka leo??
 
Umeongea point sana hapa[emoji848][emoji848]

Yaan michepuko inakula bata na mimali ya nsembo while mke mnaenda kuteseka wote jela[emoji134][emoji134] C'moon
 
...Ndio nami ninapochoka hapo Mkuu! Gramu chache hizo alizokamatwa Nazo ndio kifungo cha Maisha???
Hawa yunaowasikia kuwa wanavusha kwa magunia na makonteina?
Karibia nusu kilo ya heroine! Sio chache hizo...bahasha ndogo ya A5 inajaa....mara ya mwisho nakumbuka kete (kucha ndefu ya sista du) ilikuwa 2000...sasa huo mzigo utakuwa wa m kadhaa...hata kujitetea kwamba ni kwa matumizi binafsi ni ngumu
 
Sasa una hakika hayo uliyo yaandika yalitokea?
Hujanisoma vizuri mkuu.. mie nili mquote mtu juu. Comment yangu ime base sana kwa nilie mquote mie sina uhakika. Ila kama ni hivyo ndio nikasema kama engetaka ahunei aisingekimbili kukili tayali ile kajimaliza, na DPP huenda alimkusanya kama kijiji jamaa akatapika yote machafu.. na ndio maana wamepigwa kitanzi vizuri.. Siungi ushenzi huu, maana una madhara hasa mie nilishapoteza Bro kwa madawa ya kulevya , ina uma na alikuwa mzigo sana kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…