missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Kwani hayajtaifishwa? au ni gari pekeeHapo sawa inabidi familia yao watumie kama kitega uchumi ili watoto waliowaacha wasipate tabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hayajtaifishwa? au ni gari pekeeHapo sawa inabidi familia yao watumie kama kitega uchumi ili watoto waliowaacha wasipate tabu.
Ana hoja ya msingi, wakubwa wanaoshiriki wizi wa mabilioni ya umma wapo uraiani na maisha ya bata kama kawa... Mfano waliogawana mabilioni kutoka Mkombozi Bank na issue mpaka ikatua mjengoni si wapo mpaka leo??Kama unawatetea vile
Wametaja gari tu ndio maana nikauliza alikuwa hana nyumba?Kwani hayajtaifishwa? au ni gari pekee
Licha ya sheria kutungwa kali lkn bado kuna watu vichwa ngumu wanajiona kama hawaoni vilekesho mitaa yote ya dar ingezagaa unga tena ungeuzwa wazi wazi
Ila naona wanahimiza ndugu zao wasilie
Wataka kata rufa
Ova
alafu alimuacha mume wa ndoa kwa jeuri akaenda kwa huyu pusha dili ikajambaMbaya zaidi na mali zao zinataifishwa.
Shortcut is always a wrong cut!!
Licha ya sheria kutungwa kali lkn bado kuna watu vichwa ngumu wanajiona kama hawaoni vile
Ova
Umeongea point sana hapa[emoji848][emoji848]Watu wanasema Shamimu aachwe katika hali ya kawaida ni sawa kusema hivyo, kisheria ni ngumu labda hicho kitumike kumpunguzia walau miaka.
Lakini kabla hajataka kuonewa huruma kwa sababu ana watoto alipaswa kujionea na kuwaonea huruma wanae, angeweza kujiondoa katika maisha ya Abdul, wala asingepoteza pesa sababu angeendelea kutambuliwa kama baby mama na kikombe hiki kwa kiasi fulani angekiepuka na angeendelea kulea wanae.
Wanawake tunapaswa kuwa ahead of time, Leo hii marehemu Ivan angekamatwa kwa makosa ya zamani ya madawa na utapeli, sidhani kama Zari pia angehukumiwa sababu walishaachana kwa maandishi, ni rahisi kujitetea kuwa sikuwa nafahamu aliyokuwa akiyafanya mume wangu.
Anyways.... Shamimu ni mwana kulitafuta, Yeye sa hivi anaenda jela kwa kushirikiana na Mume wakati yule mchepuko mwenye maduka yake "fulani fulani" likiwemo na lile la BigBone sinza Akiendelea kupeta mtaani anaendelea na biashara zake halali na kulea mwanae.
Wanawake tuwe na akili, kama huwezi kumshauri mume aache basi jiachishe, kwa nia njema tu ili uendelee kulea watoto.
Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Akipigwa sabuni sabuni, anang'aa zaidi ya hapo na nikama Discover 4 mupyaa.. shida msariti tu..Amechuja hapo.
Kabisa mwanamke ni matunzo tu.Akipigwa sabuni sabuni, anang'aa zaidi ya hapo na nikama Discover 4 mupyaa.. shida msariti tu..
Karibia nusu kilo ya heroine! Sio chache hizo...bahasha ndogo ya A5 inajaa....mara ya mwisho nakumbuka kete (kucha ndefu ya sista du) ilikuwa 2000...sasa huo mzigo utakuwa wa m kadhaa...hata kujitetea kwamba ni kwa matumizi binafsi ni ngumu...Ndio nami ninapochoka hapo Mkuu! Gramu chache hizo alizokamatwa Nazo ndio kifungo cha Maisha???
Hawa yunaowasikia kuwa wanavusha kwa magunia na makonteina?
Hujanisoma vizuri mkuu.. mie nili mquote mtu juu. Comment yangu ime base sana kwa nilie mquote mie sina uhakika. Ila kama ni hivyo ndio nikasema kama engetaka ahunei aisingekimbili kukili tayali ile kajimaliza, na DPP huenda alimkusanya kama kijiji jamaa akatapika yote machafu.. na ndio maana wamepigwa kitanzi vizuri.. Siungi ushenzi huu, maana una madhara hasa mie nilishapoteza Bro kwa madawa ya kulevya , ina uma na alikuwa mzigo sana kwetuSasa una hakika hayo uliyo yaandika yalitokea?
Ndio hivyo nduguKumbe ndio ivyo ? Noma sanaaa
Conjugal rights ukiwa jela Tanzania hakuna....kwa sababu ni wanandoa basi wapewe chumba kufurahia ndoa huko kwenye makazi yao mapya
HatariKuna Biashara haziwezi kumalizika hata kidogo , pamoja na sheria kali za china lakini watu bado wanapeleka "BWIMBWI" huko huko.
Acha roho ya kichawi wewe hujawahi kukosea aiseeHuu uzi inabidi kamishna wa kuzuia na kupambana na madawa, akusanye watu kama hawa.. sio wa kuwaachia hata kidogo.. wakifika pale wakipigwa popo mbili zavuka mto, wataongea kila kitu
Very possible, huyu dogo katesa watu sana in his short period kabla hajamwagwa mazima...Unauhakika na usemacho mkuu?
Kila limuepukalo mtu huwa Lina heri sema huwa tunasikitika Sana kumbe Mungu hujuaHakuna aliyefika hata 13 yrs may be walozaa before kuona wao!halafu huu msala ungekua wa mboni huu!Shamim kaiba bwana kumbe anauingia moto
Unaweza watunzia kama mama zuri alafu akapelekwa Wistaz. Inahitaji roho ya upendo sana na uvumilivu kwa wahawa mama zetu na wapenzi wetuKabisa mwanamke ni matunzo tu.