Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Holy man hivi wee ulishaangalia documentaries za hawa addicts? Wewe imagine wana destroy lives ya mtu ambaye aliku IT expert taifa limemsomesha na kutegemea kuwa watavuna kitu baadala yake wanaishia kula hasara tuu.

Hapo there shuld be no mercy at all. The purpose of any punishment is to deter others from doing the same hence its is supposed to be as harsh as possible.
 
Huyo Mbonii alivyopokonywa alilia balaa, na kufosi juu arudiwe[emoji16], unaona sasa kumbe alikuwa anaepushiwa na jela la maisha, hii inatufundisha ukiona jambo limegoma achana nalo ukilazimisha yatakukuta makubwaa
Nakumbuka hii shosti!Mungu ashukuriwe,mganga wa mboni mkareeee!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
 
Adhabu kweli ni kali ila ni stahiki yao maana damage walioiacha kwenye jamii na familia za watu ni kubwa mnoo hao kwa biashara zao wameua vjana wengi na kusababisha familia za watu wengi kupoteza muelekeo..kuna mshkaj wangu alifukuzwa kazi(ya maana)badae akauza kila ktu mke akakambia na mwisho akakutwa kafa kwa complications za madawa..so sad.. No mercy maana tamaa mbele mauti nyuma
 
Nilijaribu kuweka kama yeye almanusura nipake heart attack, si kwa mipresha ile...ikabidi nikiwa namuona najisikia wivu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaa!shoo niliacha hata kumfolo maana alikua anantia presha miye salary laki mbili!mpk niuze ubuyu kisaa cha kufa kwa presha!kumbe mwenzetu za kuumiza watoto wa watu chaaa!!
 

Walionesha eatv[emoji3][emoji3] nahisi hata youtube ipo pia
Hadi aliulizwa kwanini wamefanya harusi kubwa vile akasema m sikutaka ila mwenzangu hakuwahi kufunga ndoa (m nilishafungua ndoa mara ya kwanza hii ni ya pili)
Alivyodai mumewe ndio alitaka iwe vile
 
Sana bibie yuko pisi sana aisee
 
Hujakosea hata kidogo

Huko darini sijui kulikuwa na panya, kilichomshusha fastaaa ni nini.....mtu akizoea AC bana
Hahaha!!eti akizoea AC yule angekaa hata mpk kesho yake jinga sana!ila Shamim anajuta sanaa!yaani namuombea atoke tu abaki nsembo then unamkumbuka Jack Clif?yule alofungwa China yule nae b4 kudate na jux alikua kaolewa na zungu la unga mmoja hivi anaitwa Abdul latwifu aka tifu!nae alikamatwa kizembe hvyo hvyo!alijificha juu ya Dari basi askari walipofika jaky akawa anasita kusema kofi moja tu akachomoa betri [emoji16][emoji16][emoji16]akataja alipo!!!
 
Kademu kapo mahabusu ila kang'aaa ng'ari ng'ari kwanini nisiwe nyapara jamanii nikajipigieee
Nimecheka sana km mazuri hayo,
jamaa yangu ukiwa nyapara hukutani na jinsia nyingine wanawatofautisha Majengo.
Jiunge na geshi la Jela unaweza mnyemelea kivingine.
Mm bado namlaumu mtoa Hukumu Luvanda angeweka huruma kidogo, kwami hata Balozi wa Mtaa anasema walipopekuwa hawakuiona hiyo handbag lkn ghafla nyuma walikotoka askari akaona ki-handbag chenye unga
Luvanda kapita Iringa, Dodoma na Mwanza wanalia kote, ila najua wakikata rufaa watatoka tu, wameonewa na operation za Makonda
 
Hivi mtu unajifichaje kwenye dari wakati location ya simu zako na points zinaonesha upo kwako na hawaji kwa kubahatisha wanajua kabisa upo ndani, hasa hapo inakuaje
 
Serikali iliyotunga na hio Sheria na alieitia saini ndio huyu mnaemwita shujaa wa Africa mwendazake .

By the way hao akina shamimu hakuna kuwaonea huruma

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…