Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Bwashee hapo solution sio kupunguza kifungo, solution ni kuacha hiyo biashara ya madawa. Acha
Ndy tukubali Tanzania kwa sasa ndy kinara wa kufunga kifungo kirefu watu wa madawa ya kulevya kuliko inchi yeyote Africa na ulaya na marekani kote kwa ujumla.

Tena kifungo kisichofata sheria

Vipi umuhukumu mtuhumiwa mmoja miaka 20._kwa grams 250.

Na uwahukumu watuhumiwa 2 kwa kosa lile lile,
Na kiwango kile kile grams 250 uwafunge maisha.?

Mkuu wewe yanayoendelea huyajuwi.hujuwi kuna watu wameumizwa kwa kiasi gani.

90% ya waliokamatwa na hizo 250 grams ni framed case.
Mizigo wamekuja nayo hao police na kuwawekea madawa..

Hakuna mtu wa madawa anayejielewa akakaa na madawa ndani kwake.

Ina maana wenye mamlaka wameshindwa kufanya kazi kwa weledi hadi kubambikizia watu madawa majumbani?
 
Nashangaa hawa watu wanaoshabikia kuwa kaonewa hawajui tu huku mtaani watu walivyoharibika siku moja wajaribu tembelea yale maeneo ya meananyamala hospital na maeneo jiran waone vijana walivyoharibika

Maeneo mengne ambayo ngada imeacha maafa n Tanga nako hali s shwar ila wao baadh wamegeukia mirungi kwa kpnd hiki
Ngada iliwafanya watu wawe kama mazombie.....
Tanga ni balaaa.....
Madawa ukivuta sana mpaka unakuwa chronic mwishowe unaishia kujipiga sindano
Utakuta mtu anajipiga sindano mpaka mishipa ya mwili inafika wakati haioni
Mwishowe mtu anajishoot mpaka kwenye
U*booo ndomana nasema maisha hayo f#k#n sanAaa
Kama kwenye familia kuna ndg yko ni teja basi hamtatuliaaaa

Ova
 
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin .

Pia mahakama hiyo imetoa amri ya kutaifisha mali za Wahukumiwa ikiwemo gari aina ya Discover 4 ili liwe mali za Serikali, huku dawa hizo zikitakiwa kuteketezwa.

Hukumu ya kesi hiyo namba 4 ya mwaka 2020, imetolewa Jaji Elinaza Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili kati ya Jamhuri na Utetezi na kujiridhisha kwamba Watuhumiwa wamekutwa na hatiani katika makosa mawili ya usafirishaji dawa za Kulevya.

Wawili hao walishtakiwa baada ya kudaiwa Mei Mosi, 2019 wakiwa eneo la Mbezi Beach, Wilaya ya Kinondoni, jijini DSM kinyume na sheria ya uhujumu uchumi walikutwa na dawa hizo.

Ikumbukwe hapa JF kupitia Member wake wanawafahamu fika.

Pia soma
 
Attachments

  • VID-20210331-WA0171.mp4
    3.7 MB
Ngada iliwafanya watu wawe kama mazombie.....
Tanga ni balaaa.....
Madawa ukivuta sana mpaka unakuwa chronic mwishowe unaishia kujipiga sindano
Utakuta mtu anajipiga sindano mpaka mishipa ya mwili inafika wakati haioni
Mwishowe mtu anajishoot mpaka kwenye
U*booo ndomana nasema maisha hayo f#k#n sanAaa
Kama kwenye familia kuna ndg yko ni teja basi hamtatuliaaaa

Ova
Kweli kabisa yaani mishipa ina collapse kabisa na wanavyo hangaika kuitafuta hadi unawaonea huruma.

Wanaongea luhusu msamaa hawajui tuu madhara kwa jamii ya hiyo kitu. Hapa kwanza ilitakiwa ukishikwa na hiyo ata kama ni gram mbili kunyonga tuu.
 
Nasikia chonji akajigeuza baba Mangi anakupimia kama unga wa dona mchana wa jua kali hahaha!
Yule utafikiri alikuwa ana kibali
Ndomana ile operation ilivyofanyika
Vituo fulani vya p walikuwa hawana taarifa
Walikata na umeme watu wafanye kazi..

Zamani ulikuwa ukienda kwa mtama pale magmni kwake ilikuwa utafikiri uko imigrationn si foleni...mama*eee[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya maisha bwana

Ova
 
Swala Kama wakitoka wataendelea na biashara hiyo au nadhana wewe humjui vzur nsembo ungemfahamU usingeandika haya mm niliyepata kuish naye mtaa mmoja kabla hajahamia mbezi najua nn nachokiongrlea hapa
Mkuu...hivi police wanashindwa kumkamata muhalifu na kidhibiti hata watumie mbinu za kumuwekea kidhibiti?

Kama ni kweli dealer mkubwa si angekutwa na kilo hata 30?

Hivi umkamate dealer na grams 250 halafu umfunge maisha?
Kwann usimkamate na container?
 
Ngada iliwafanya watu wawe kama mazombie.....
Tanga ni balaaa.....
Madawa ukivuta sana mpaka unakuwa chronic mwishowe unaishia kujipiga sindano
Utakuta mtu anajipiga sindano mpaka mishipa ya mwili inafika wakati haioni
Mwishowe mtu anajishoot mpaka kwenye
U*booo ndomana nasema maisha hayo f#k#n sanAaa
Kama kwenye familia kuna ndg yko ni teja basi hamtatuliaaaa

Ova
Kujipiga sindano kwenye u.bo.o daaah[emoji1]

Watu majasiri

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hakimu ndyo ameona hivyo inafaa kutoa hukumu kwa gramu 250 TU
Mm nina uhakika kabisa.

Huyo hakimu alitaka kiasi fulani cha pesa kutoka kwa mtuhumiwa.
Sababu tunajuwa yote yanayoendelea juu ya maamuzi ya mahakimu kwa watu wa madawa.

Jamaa aligoma kutoa,,,akaona amkomoe.

Nimeisikiliza ile kauli ya jamaa kwa makini pale kisutu.

""Tulieni msilie haya ni maamuzi ya jaji 1 tu
Na hii hukumu nilikuwa najuwa."

Aliongea mshtakiwa akiwatuliza ndugu zake.

Mm nakwambiya kabisa ,,hizi kesi za madawa ni mradi mkubwa sana kwa mahakimu na waendesha mashtaka.

Mtuhumiwa lazima atoe pesa ili hukumu ifanywe haraka.
Tena sio pesa ndogo.

Mtuhumiwa lazima atoe tena pesa kwa hakimu apunguziwe kifungo.

Usipotoa hilo fungu mwisho wake ndy huo.
Sasa utakuwa ndy mwendo huo huo kwa wale wasiotoa pesa.

Utakuja kushangazwa na hukumu ya chonchi ikawa ndogo kuliko hiyo.
Ambaye alikutwa na kg nyingi kuliko huyo shamim na mumewe

Time will tell.
 
Life in prison?

That’s a draconian sentence.

I suspect they may get a reduction on appeal.
 
Braza usiwatete wauza unga .

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Sheria zimewekwa sio kutetea mtu.,,

Zimewekwa zifuatwe.

Kwanini sheria hazifuatwi?

Hapo kuna watu wamekamatwa tangu 2010 hadi Leo kesi hazisomwi sababu hawana pesa za kuhonga waendesha mashtaka.
.watu waliokamatwa hata miezi 6 bado wanahukumiwa.

Yote hayo sababu ya kupindisha sheria.
Mwenye kuonyesha pesa ndy wanahangaika na hukumu mapema.
Watu wamejazana magerezani kwa kesi za kutengeneza.
 
Yule utafikiri alikuwa ana kibali
Ndomana ile operation ilivyofanyika
Vituo fulani vya p walikuwa hawana taarifa
Walikata na umeme watu wafanye kazi..

Zamani ulikuwa ukienda kwa mtama pale magmni kwake ilikuwa utafikiri uko imigrationn si foleni...mama*eee[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya maisha bwana

Ova
Ila kinachoshangaza hawaachi hizi biashara miaka na miaka sijui kwa nini...unajua nyuma nyuma hapa Abdul alitulia kabisa maisha yakayumba sana kiupande wake nasikia mama akaanza fujo ndani sasa na ile jeuri ndo akaamua kurudi tena ndo balaa likawakumba
 
Yule utafikiri alikuwa ana kibali
Ndomana ile operation ilivyofanyika
Vituo fulani vya p walikuwa hawana taarifa
Walikata na umeme watu wafanye kazi..

Zamani ulikuwa ukienda kwa mtama pale magmni kwake ilikuwa utafikiri uko imigrationn si foleni...mama*eee[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya maisha bwana

Ova
Hahaha umenikumbusha mbali Sana polisi wengi walikuwa kwenye payroll ya chonch so ilikuwa ngumu kumdaka na viherehere wengi walihamishwa vituo kwa jeuri ya chonchi
 
Back
Top Bottom