Unamjua yule ndugu yake imamu wa ule msikitiHahaha umenikumbusha mbali Sana polisi wengi walikuwa kwenye payroll ya chonch so ilikuwa ngumu kumdaka na viherehere wengi walihamishwa vituo kwa jeuri ya chonchi
Hivi ile kampuni yake ya usafirishaji ilikufa au Kuna mwamba anaiendeleza maana ndio lilikuwa Chaka lake lakuzugiaIla kinachoshangaza hawaachi hizi biashara miaka na miaka sijui kwa nini...unajua nyuma nyuma hapa Abdul alitulia kabisa maisha yakayumba sana kiupande wake nasikia mama akaanza fujo ndani sasa na ile jeuri ndo akaamua kurudi tena ndo balaa likawakumba
Namfahamu Sana mkuu vp nayeUnamjua yule ndugu yake imamu wa ule msikiti
Ile ilikufa punde walipokamatwa kina Chonji,na sidhani kama haikuwa ikiendeshwa kihasara maana nishajaribu hii biashara ya usafirishaji nusu iondoke na roho yangu.lilikuwa chaka lileHivi ile kampuni yake ya usafirishaji ilikufa au Kuna mwamba anaiendeleza maana ndio lilikuwa Chaka lake lakuzugia
Alishindwa kumzuia mdogo wake kama kweli ni kiongozi wa diniNamfahamu Sana mkuu vp naye
Pole Sana mkuu hapa mjin pana mambo Sana unaweza kuta hotel Kali ipo manzese ndani hakuna wateja wa maana lakn inapiga kaz miaka yote unajiuliza anapataje pesa hupat majibu kumbe n Chaka tu la kujigicha na mamlakaIle ilikufa punde walipokamatwa kina Chonji,na sidhani kama haikuwa ikiendeshwa kihasara maana nishajaribu hii biashara ya usafirishaji nusu iondoke na roho yangu.lilikuwa chaka lile
Na baadh ya pesa alikuwa anasponsor pale masjd hasa nyakat za mwez mfungo na watoto wa nadrasa amewapa Sana pesa za safar Kama kuwakodia magarAlishindwa kumzuia mdogo wake kama kweli ni kiongozi wa dini
Bora watulizwe huko kwa kweli...Shamimu atoke ashajifunza ila hii mibaba iozee hukohuko ishee mablanket na wateja wao huko magerezaniNa baadh ya pesa alikuwa anasponsor pale masjd hasa nyakat za mwez mfungo na watoto wa nadrasa amewapa Sana pesa za safar Kama kuwakodia magar
Biashara ya kawaida utaona upuuzi tuu compared na return margins ya biashara ya unga.Ila kinachoshangaza hawaachi hizi biashara miaka na miaka sijui kwa nini...unajua nyuma nyuma hapa Abdul alitulia kabisa maisha yakayumba sana kiupande wake nasikia mama akaanza fujo ndani sasa na ile jeuri ndo akaamua kurudi tena ndo balaa likawakumba
Jiwe akifufukaHivi wanaweza kutoka kwa msamaha wa rais baadae?
Tatizo mtu anataka aishi maisha ya garamaIla kinachoshangaza hawaachi hizi biashara miaka na miaka sijui kwa nini...unajua nyuma nyuma hapa Abdul alitulia kabisa maisha yakayumba sana kiupande wake nasikia mama akaanza fujo ndani sasa na ile jeuri ndo akaamua kurudi tena ndo balaa likawakumba
Magomeni tena kwa kina beka rngaHahaha umenikumbusha mbali Sana polisi wengi walikuwa kwenye payroll ya chonch so ilikuwa ngumu kumdaka na viherehere wengi walihamishwa vituo kwa jeuri ya chonchi
KabisaUzi umeingiliwa na mateja huu..
Acha ale mvua za kutosha tu. Kama ulishawahi experience dhahama ya kuwa na ndugu, rafiki na jirani mla unga hutaweza tetea hawa wauaji..
What if long nayo ni sawa?
We hujamuelewa....anamaanisha njia fupi huwa ni njia ndefu
Watu wanaona wenzao ni watoooooto,unawachora tu mkuuWatu buana, acha tu. Ingekuwa hivyo huyo Carlos asingekaa jela maka 33, angekuwa anakatiza tu mitaa ya Manhattan tu. 😅
Msamaha wa kosa gani?Alikiri hili apate msamaha