Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

So sad,
Hawana watoto wadogo ambao wanahitaji malezi ya wazazi?
 
mkuu nataka kukuambia ukitusua pesa ya kukutoa labda hata milioni 40 tu kimfano tembea kilomita, usirudi makazi gale nenda kafanye mengine.
 
Da, nishai mjomba
 
Well said Mkuu
 
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Una uhakika na unacho kinena?
 
Du! Hio hukumu sio mchezo,hata hivyo athari ya madawa ya kulevya kwa jamii ni kubwa sana,watoto wa watu wanakufa wengine wanakuwa vichaa

Hawa wameumiza watu wengi sana. Nyuma yao wameharibu roho na maisha lukuki. Mara nyingine tuangalie uhalisia. Nawaonea huruma sana maana watoto wao ndio hivyo tena....
Hakuna legacy yoyote alioacha nyuma. Majuto mjukuu
 
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.

Alikuwa ana support mmewe kufanya hiyo biashara. Anatudanganya kutunza hela kwa kibobo. Anyway, sijui sana hizi sheria, ila hawa ni waharibifu. Sio watu wa kuruhusu warudi mtaani
 
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake

How? Makonda yuko team ya kupambana na madawa ya kulevya? Tusihamishe magoli.
Maishani tunavuna tunachopanda
 
inaoneshwa lini na sangapi mkuu
 
Wanafiki sana hawa kunguni.

Wakipita karibu na baa au jiko la kitimoto utasikia Astafirullah, lakini kuua ndoto na afya za watoto wa watu hakuna astakhafirullah Maamuma hawa
Huuhuu
 
Wauza ngede wameuvamia Kwa hasira sana[emoji28][emoji28][emoji28]
Tunawachora tu
Hahaha ukweli ndiyo huo ktk biashara hiyo
Lazima utalipa tu kama sisi wewe basi watoto wako
Kuna wakati mali na hela zote zinarudi kwa mamlaka......au wewe kupotelea jela,na kuwa mtumiaji wa ngada pia
Wauzaji wengi mwishowe huwa mateja nao

Mchimba kisima kaingiAa mwenyewe hiyo

Hii kitu ina liana mbaya sanaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…