Wee bwana unaongea tuu...the amount of money these people make ni balaaa....kama una dstv angalia program moja inaitwa narco wars ndio utajua balaa ya hii biashara. Inakuwa kwenye diacovery channel kama sikosei.Biashara ya madawa ina kama laanaa
Mwisho wake always ni mmbaya
Kuna kufungwa,kuna wewe mfanyabiashara hiyo kuwa teja,na kuna kufaaaa
Watu sijui bado hawajaliona hilo
Ova
Wakati wanauza ngada hata sisi tulijua kuwa ni biashara yenye pesa ila tuliacha kwa mustakabali wa usalama wetu na raia wengine.Mkuu makosa husameheka, na adhabu hupunguzwa. Kama binadamu kila mtu na makosa yake. Na mbaya zaidi wengine wana bifu na Mungu.. maandiko yanasema Ugomvi wa mwanadamu kwa mwadamu Mungu usamehe na kurehmu.. haya sasa Tafrani la Mungu na mwadamu nani ataamulia. Ni kweli wamesababisha madhara, ila pia wawe na nafasi ya msamaha wa kulipia haya kwakutumia na jamii pia na miaka kazaa jera. Walitakiwa wapigwe 15, na kufanya usafi mwaisela miaka 15 na kutaifishwa nusu ya mali. Wana familia wale
Hata sasa bado ni kisu hasa. Ngoja nitaenda magereza nitamtoa tu labda sio mimiHujamuona kabla alikuwa kisu hasa
Kwan walikua wanawashikia bastola wanunue ungaKama ulikuwa unajua hayo si ungeenda kuwatetea.......wacha ushabiki usio na maana...huku unasema waliwekewa ...huku unasema alikuwa anauza.....eti shamimu hajui kitu.......unawafahamu hao.......unajua ni vijana wangapi wamekuwa mazezeta sbb ya huo unga usemao....please kaa kimya uko gizani subiri kupambazuke.......''WANYONGWE KABISA'',,, kufungwa maisha ni kuiongezea serikali mzigo....Mungu nisamehe....
Hilo linaelewekaWee bwana unaongea tuu...the amount of money these people make ni balaaa....kama una dstv angalia program moja inaitwa narco wars ndio utajua balaa ya hii biashara. Inakuwa kwenye diacovery channel kama sikosei.
Makosa ya dawa za kulevya hayako kwenye plea bargaining. Ila huyu mama angepunguziwa adhabu busara ilitakiwa itumike hapa angalau akalee watoto wale jamani. Waswahili walisema tamaa mbele mauti nyumaLicha ya Abdul Kukiri kwa DPP asamehewe haijasaidia kitu.
Suala la kutomb.wa tutajua sisi askari wa magerezaAngekaza tu mzee baba. CCTV camera kitu gani. Hazina sauti na hazitoi detaiz za ulichonacho .. hata kama unga kwa CCTV bado nakukataa labada kama CCTV zinazo scan na ku display details za mzigo ila hizi za kawaida na kukataaa tu. Ligi ingemtoa kwenye kifungo cha maisha.. sasa Shamimu ndio atomb.wi tena hadi afie huko ? au wanatutania
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Yani unataka kusema hawa wanaenda jela bila hatia..Usichokijua nyamaza sio kila Mtu anaenda jela ana hatia kwakua Uko na uhai omba Mungu yasimkute Ndugu yako au wewe mwenyewe watu maskin mna chuki na watu wewe unaonekana una roho ya kimaskin na hata lunch huna uhakika nayo umaskin mbaya Najua ni hasira za maisha tu wewe unapanda mwendo kasi tuliza kipego
...Ndio nami ninapochoka hapo Mkuu! Gramu chache hizo alizokamatwa Nazo ndio kifungo cha Maisha???Noma kweli...Mbona gram chache sana?
Mungu amlipe Makonda na asimlipe aliyekua anauza unga. Huyo Mungu wa wapi? Shamim na yeye kwanini alimficha mume wake. Wangekua na akili mume angejitokeza mapema mkewe asingehusika kwenye hii kesi. Ona sasa wanafungwa maisha wote. Watoto wanabaki kuteseka. Mashoga watawasaidia wataenda watachoka ukizingatia vitoto ndio kwanza viko primaryMakonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
huyu mama angepunguziwa adhabu
Kweli kabisa, kila kosa ni kosa. Na kila kosa lina ujira wa adhabu. Na kila adhabu ina kipimo. Kipimo cha adhabu yao ni haki yao. Ila kuna sehemu ya mwanadamu ambayo inajifunza.Wakati wanauza ngada hata sisi tulijua kuwa ni biashara yenye pesa ila tuliacha kwa mustakabali wa usalama wetu na raia wengine....
Ili alee watoto wakeili iweje ? alivyokua anatumbua zile pesa na kula bata alikua hajui matokeo yake ? alikua hajui kama ana watoto ?
arudi uraiani aendeleze 'upusha' tena ee ? em tumia akili,
wacha avune alichokipanda