Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Biashara ya madawa ina kama laanaa
Mwisho wake always ni mmbaya
Kuna kufungwa,kuna wewe mfanyabiashara hiyo kuwa teja,na kuna kufaaaa

Watu sijui bado hawajaliona hilo

Ova
Wee bwana unaongea tuu...the amount of money these people make ni balaaa....kama una dstv angalia program moja inaitwa narco wars ndio utajua balaa ya hii biashara. Inakuwa kwenye diacovery channel kama sikosei.
 
Mkuu makosa husameheka, na adhabu hupunguzwa. Kama binadamu kila mtu na makosa yake. Na mbaya zaidi wengine wana bifu na Mungu.. maandiko yanasema Ugomvi wa mwanadamu kwa mwadamu Mungu usamehe na kurehmu.. haya sasa Tafrani la Mungu na mwadamu nani ataamulia. Ni kweli wamesababisha madhara, ila pia wawe na nafasi ya msamaha wa kulipia haya kwakutumia na jamii pia na miaka kazaa jera. Walitakiwa wapigwe 15, na kufanya usafi mwaisela miaka 15 na kutaifishwa nusu ya mali. Wana familia wale
Wakati wanauza ngada hata sisi tulijua kuwa ni biashara yenye pesa ila tuliacha kwa mustakabali wa usalama wetu na raia wengine.

Tulijua implication ni jela tu. Sasa kwa kuwa hatukutanguliza ubinafsi na tamaa ya hela leo tupo uraiani tunaishi. Wao waliotamba na mihela haramu wako selo.

"Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake."

Waishi humo
 
Kama ulikuwa unajua hayo si ungeenda kuwatetea.......wacha ushabiki usio na maana...huku unasema waliwekewa ...huku unasema alikuwa anauza.....eti shamimu hajui kitu.......unawafahamu hao.......unajua ni vijana wangapi wamekuwa mazezeta sbb ya huo unga usemao....please kaa kimya uko gizani subiri kupambazuke.......''WANYONGWE KABISA'',,, kufungwa maisha ni kuiongezea serikali mzigo....Mungu nisamehe....
Kwan walikua wanawashikia bastola wanunue unga
 
Wee bwana unaongea tuu...the amount of money these people make ni balaaa....kama una dstv angalia program moja inaitwa narco wars ndio utajua balaa ya hii biashara. Inakuwa kwenye diacovery channel kama sikosei.
Hilo linaeleweka
Ila mwisho wa biashara hiyo
Ni mmbayaa hata utengeneze trilions

Ova
 
Angekaza tu mzee baba. CCTV camera kitu gani. Hazina sauti na hazitoi detaiz za ulichonacho .. hata kama unga kwa CCTV bado nakukataa labada kama CCTV zinazo scan na ku display details za mzigo ila hizi za kawaida na kukataaa tu. Ligi ingemtoa kwenye kifungo cha maisha.. sasa Shamimu ndio atomb.wi tena hadi afie huko ? au wanatutania
Suala la kutomb.wa tutajua sisi askari wa magereza
 
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.

Mmh kuna muda tusiwape lawama wengine
Shamimu alikuwa hauzi ila ana shirikiana na mume muuza unga
Hukumu ni kali ila tusitafute wa kumlaumu
 
Usichokijua nyamaza sio kila Mtu anaenda jela ana hatia kwakua Uko na uhai omba Mungu yasimkute Ndugu yako au wewe mwenyewe watu maskin mna chuki na watu wewe unaonekana una roho ya kimaskin na hata lunch huna uhakika nayo umaskin mbaya Najua ni hasira za maisha tu wewe unapanda mwendo kasi tuliza kipego
Yani unataka kusema hawa wanaenda jela bila hatia..
 
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
Mungu amlipe Makonda na asimlipe aliyekua anauza unga. Huyo Mungu wa wapi? Shamim na yeye kwanini alimficha mume wake. Wangekua na akili mume angejitokeza mapema mkewe asingehusika kwenye hii kesi. Ona sasa wanafungwa maisha wote. Watoto wanabaki kuteseka. Mashoga watawasaidia wataenda watachoka ukizingatia vitoto ndio kwanza viko primary
 
Wakati wanauza ngada hata sisi tulijua kuwa ni biashara yenye pesa ila tuliacha kwa mustakabali wa usalama wetu na raia wengine....
Kweli kabisa, kila kosa ni kosa. Na kila kosa lina ujira wa adhabu. Na kila adhabu ina kipimo. Kipimo cha adhabu yao ni haki yao. Ila kuna sehemu ya mwanadamu ambayo inajifunza.

Miaka 15 au 20 ni mingi sana. Plus kusafisha ward ya mwaisela.. inatosha kabisa.. kumfunga mtu maisha mwenye age inayocheza 40 + na utahira.. anaweza ishi miaka 10 au mitano akavuta ni hasara.. siwatetei lakini naangalia kwenye jicho pana la maisha yetu ya kila siku

C.c cariha soma hapa utanielewa
 
Back
Top Bottom