Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma, maisha daaaah .
Noma kweli...Mbona gram chache sana?Ukipona huko sahvi ni miaka 30,au 15
Huko sahv pamotooo
Tunaimba kila siku watu waachane na madubwana hayo au kama unafanya husiki siku ukikutana na mziki usilaumu
Ova
Kama unawatetea vileJela pia ni sehemu ya maisha, Tunasubiri pia kesi kuunguruma za wale walioficha 'mabilioni' ya umma vyumbani mwao !
This is Fact mkuluTatizo misemo ya "woga wako ndio umaskini wako" siku hizi wadada wanaishadadia sana...
Kabisa aisee watu wapige biashara halali tuu kwasasaUkipona huko sahvi ni miaka 30,au 15
Huko sahv pamotooo
Tunaimba kila siku watu waachane na madubwana hayo au kama unafanya husiki siku ukikutana na mziki usilaumu
Ova
Jela sio Mchezo Shamimu kapauka aiseeee.Dooh shamimu anawaacha kina iqra wadogo masikini
Kwahio nguvu kazi walioiharibu kwa kipindi chote hicho akina Langa na Ngwair we unaona wanastahili kurudi mtaani?Hukumu iliyotolewa ni kalKwahi sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Yaani amekonda kawa Kama mzee! Jela sio pazuriJela sio Mchezo Shamimu kapauka aiseeee.