Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Be responsible, si kila makosa ya mwanaume lazima zigo atupiwe mwanamke. Angeweza kuchagua njia nyingine sahihi.

Hizo ni tabia ya kuwa over ambitious, umiliki kila kitu kizuri kuanzia mke, nyumba, magari, umwamba, heshima etc. Ndizo huwapekelea watu kujiingiza katika biashara hizi.

Tabia ya kuwa over ambitious zipo kwa jinsia zote ndio maana kila leo watu hufanya mambo illegal ili wapate pesa nyingi, Shamimu ni mdada wa mjini hasa, alimuacha mume wake wa mwanzo ili aolewe na Abdul, wote walioana wanapenda makubwa kwa njia yoyote ile, here we are.
Tena nasikia nsembo alikuwa bwana wa shoga ake shamimu (mboni) ndio bibie akaolewa naye kabisa....Kama ni kweli mboni amshukuru Mungu kumuepusha na Shari hii
 
Angekaza tu mzee baba. CCTV camera kitu gani. Hazina sauti na hazitoi detaiz za ulichonacho .. hata kama unga kwa CCTV bado nakukataa labada kama CCTV zinazo scan na ku display details za mzigo ila hizi za kawaida na kukataaa tu. Ligi ingemtoa kwenye kifungo cha maisha.. sasa Shamimu ndio atomb.wi tena hadi afie huko ? au wanatutania
Mpaka amekiri ujue huko ndani kulikua na kuteswa sana pamoja na mkewe
 
Kabla hajawekewa Nsembo aliitwa na Mwana Fa karambezi akamwambia makonda kasema atakufunga na makonda na nsembo walikuwa wanajuana mwana fa alivyompa Siri nsembo ikabidi nsembo ampigie Simu makonda kaka nimeskia unataka kunifunga makonda akamwambia umeambiwa na Nani nsembo akamtaja Mwana FA so kesho yake Ndio nsembo kawekewa Unga kwake usiku Ndio kisa cha Mwana FA na mokonda kuwa chui na pala Mpaka Kesho Najua na Nina hakika na hii habari.
Duh! Noma sana, makonda alikuwa anataka kumfunga au pesa
 
Mpaka amekiri ujue huko ndani kulikua na kuteswa sana pamoja na mkewe
Naelewa wanakuwa na mateso makali sana, ila hao hawakuwa wanateswa baada ya kufikishwa mahabusu. Lakini pia ukisema kitu kwa ajiri ya mateso una haki mahakamani kukataaa na kueleza nilisema haya kwasababu walinipiga popo.. lazima ufurukute hata kama unajua unashindwa.. sasa ona maisha hadi afike huko .. alitakiwa aluke luke kama maharage hadi apigwe hata 30 au 15.. na sio maisha..
 
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake

Acheni kupush ngada. Mtamsingizia Makonda kila kitu badala ya kuacha michezo yenu.

Kimeumana.
 
Back
Top Bottom