Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Kuna Mwamba imemchukua Miaka 7 ku-recoverUnawaombea kwa lipi, muuza madawa ni muuaji, je hao watu waliowaharibu akili waliwaombea kabla ya kuwauzia madawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Mwamba imemchukua Miaka 7 ku-recoverUnawaombea kwa lipi, muuza madawa ni muuaji, je hao watu waliowaharibu akili waliwaombea kabla ya kuwauzia madawa?
Ona sasaKuna Mwamba imemchukua Miaka 7 ku-recover
Madawa sio Mchezo unga brother Sembe hatari fireOna sasa
Siwezi kumuombea muuza unga kwa Mwenyezi Mungu hata siku moja, wale ni waharibifu. Tamaa ya kujulikana ilimlostisha Shamimu, mbona wenzake walimuonya hakutaka kusikia, aliwaona wanamuonea wivu kuolewa na mtu mwenye hela haramu.Madawa sio Mchezo unga brother Sembe hatari fire
Ni kwa sababu unawafahamu na ni maarufu. Hakuna kingine kilichokusukuma kuwaza hivi.Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Duh…Kwan pusha anamlazimisha teja kununua madawa?? Yeye anauza tu anataka hela, hilo la matumizi mtajua wenyewe....pusha hana makosa
Wewe ni Pusha T?Kwan pusha anamlazimisha teja kununua madawa?? Yeye anauza tu anataka hela, hilo la matumizi mtajua wenyewe....pusha hana makosa
HakikaNdo maana mimi huwa sitamani utajiri wa mtu.
Bora. Huku mitandaoni kuna mengi sana. Unaweza kutamani utajiri wa mtu, ila namna alivyoupata yeye ndo anajua. Shida sana kusema kweliNdo maana mimi huwa sitamani utajiri wa mtu.
Vp umewamiss ... usijali watatokaBado Tu jamani
Watatoka lini mkuuVp umewamiss ... usijali watatoka
Ila akitoka kuna kitu atakuwa amejifunza
Ova