Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Shamira alitembelea ofisi ya UVCCM Mkoa wa Mjini Unguja kufanya kikao kifupi cha ndani, na kukabidhi printa kwa kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Mkoa, iliyopokelewa na Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Ndg. Khayam Mustafa Yakuti pamoja na wajumbe wengine ngazi ya mkoa na Wilaya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mshangama amekabidhi kitendea kazi hiko kwa lengo la kuirahishia UVCCM mkoa wa Mjini katika majukumu ya kila siku ya kazi za umoja wa Vijana.
Soma Pia: Shamira akabidhi kompyuta na printa kwa UVCCM Mkoa wa Shinyanga