Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Muleba mjini pa hovyo kabisa watu washamba,ukiacha sijui bar gani ile inaitwa nelphine sijui hakuna sehemu nzuri ya maana,hawajui kupika nimekaa pale zaidi ya wiki huduma za kifedha shida, kutoa milioni moja kwenye simu utazunguka vibanda zaidi ya kumi kupata hiyo hela, Muleba pamezubaa huwezi fanananisha hata na Bomang'ombe.
Nimetembea sijui Abagunda, Ishamba hakuna kitu
Mandhari ni sawa na Moshi ila maendeleo Moshi ipo juu.
Kiukweli bukoba na muleba nimependezwa tu na ziwa victoria kwa maana ya view yake.
 
Nimecheka mnakodi bus hahahahaha Ushamba mzigo
 
Wala hujakosea .

Muleba ni wilaya rural yote haina mji mkubwa wowote Bali miji midogo kama muleba,izigo,kaboya,Rulanda, kamachumu nk nk.

Watu wa wilaya hii hutegemea miji ya bukoba na kemondo Kwa accommodation ndo maana kuna daladala nyingi za kwenda vijijin ndan huko na zote hutoka bukoba na sio muleba mjini.

Kimsingi wilaya hii ina utamadun wa kipekee na wilaya nzima kihaya full tena kile cha ihangiro na watu wake ni weusi tii.

Ila ina makazi Bora vijijin na ndo wilaya ya pili kuwa na shule nyingi za msingi baada ya moshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii route ya Dar bukoba inazidi kuwa tamu Kwa ndege.
Abiria hawakomi!!

Sasa hiv air tz inaenda mara tatu Kwa siku.huku precision na auric zikizidi kuchanja mbuga kila siku.

Rais magu nadhan anajuta kuacha kujenga uwanja mkubwa wa omkajunguti na kukimbilia chato[emoji23][emoji23]


Bukoba airport hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha wakazi wake Ni weusi tii[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu atakuwa haijui kilimanjaro,yaan. Anasema habari ya maji ya bomba wakati kule kilimanjaro ni tangu enzi za mkoloni yapo? Tena ni natural yanatoka mlima kilimanjaro sio yale ya kwao bukoba ya ziwani

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema tembea uone ,moshi vijijini maji unakinga tuu bombani na kunywa kama ulaya vile
 
Moshi kuna International Airport
 
Unaambiwa dar sehemu uliyokua unaendesha gari masaa 2 sahv Ni nusu sáa tu
Na watu wanalalamika uchumi umeyumba dar kwasabb wachaga wameondoka
Magari foleni Hakuna kabisa dar,aisée tumetishaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wap wakati barabara ya sinza ilikuwa haipitiki kabisa na kuna magari yameanguka mitaron!!

Sam nujoma na mlimani city ilikuwa imejaa mifoleni kibao!!

Kariakoo biashara zilikuwa kama kawaida.

Bado foleni ya mbezi kimara hapo

Bila kusahau tazara folen zilikuwepo zile mbaya.


Acheni kujimwambafy hapa hamna effect yoyote kwenye hili jiji Kwanza biashara zenu wakinga ndo wamekamata huko tazama kariakoo.
Afadhali yetu sie tuliokumbatia vitabu mpaka magu anajuta kuhamishia bajeti ya omkajunguti international airport chato[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha unasemaje eti?
Hiyo misafara ulioiona ndio ilikuwa inaelekea moshi [emoji3][emoji3]
Alafu kwani Sisi wachaga hatujakumbatia kitabu? Sisi tupo multipurpose kwenye kitabu tumo,kwenye biashara tumo,Hao wakinga unaosema hawawz kutufunika yaani mtu mwenye vihela vya masharti atufunike? Ulishaona mkinga mwenye biashara fulani kavaa nguo nzuri? Wale wanalala kwenye ngozi
Ukienda kwao makete Hali tete masharti ya waganga wao hayawaruhusu kuishi maisha Bora hebu ona kwao kulivyo,wamepakimbia wamekaa mbeya tu kwao kubaya mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…