Monchengladbach
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 703
- 514
Na ndio maana mamlaka ya maji Moshi mwaka huu imetwaa tuzo ya mamlaka Bora kuliko zote Africa,maji ya bomba ya Moshi ni Safi na Salama kwa 100%Wanasema tembea uone ,moshi vijijini maji unakinga tuu bombani na kunywa kama ulaya vile
Sent using Jamii Forums mobile app