Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Na ndio maana mamlaka ya maji Moshi mwaka huu imetwaa tuzo ya mamlaka Bora kuliko zote Africa,maji ya bomba ya Moshi ni Safi na Salama kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa....

Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleen kujimwambafy huku bukoba Mambo ni kimya kimya.
Screenshot_20191228-235057.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kanisa lipo kama tanki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]




Nasubiri Cathedral ya moshi ya kristu mfalme nilinganishe na mater misericordia church ya bukoba [emoji23][emoji23][emoji23]

Hiv mnaijua Cathedral ya bukoba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Cathedral haioni ndani kwa hii kanisa ya kijijin kabisa Moshi
FB_IMG_16367836592289043.jpg
 
Back
Top Bottom