Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Nawakumbusha ndugu zetu.

Hapa sio ulaya ni Kibosho, kijijini.

View attachment 1298190View attachment 1298191

Sent using Jamii Forums mobile app
Naonaga uchagan yote ni nyumba ya mengi Tu.

Ukitaka kuanzisha ligi utaiona kabisa

Mbona utakimbia UziView attachment 1298207View attachment 1298217

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • images%20(5).jpeg
    12.8 KB · Views: 1
Wewe twenee tu na picha. Porojo za nini?? Naona mmeshikwa pabaya!! Uzi mmeuanzisha wenyewe kwa ajili ya picha sasa maji shingoni mnataka kupindua meza[emoji23][emoji23][emoji23]
Mchaga na Mhaya hawawezi kushindanishwa kwenye biashara, makazi bora na utunzaji mazingira.
Wahaya labda mjivunie kuwa na watu wengi wenye Elimu ya juu.
Ukweli uachwe ubaki kuwa ukweli.
Mimi sio Muhaya wala Mchaga

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekataa picha za mitandaoni za kuedit na photoshops. Hivi nyie hamna simu? Au simu zenu hazina camera??

Mmesema wenyewe ni uzi wa picha za amsha amsha za X mas huko kwenu migombani. Naona mnatupakulia picha tu mitandaoni. Mchaga hoi[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila huu Uzi unasema Shamshamra za Sikukuu Kilimanjaro 2019.. Ila naona wewe umeamua kuja na picha za nyumba Muleba huko sijui wapi? AU ni mimi sijaelewa Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sipost hizi za watu nisiowajua za mitandaoni. Haya majumba ya mahotel hapana aisee. Wachaga mna kelele nyingi ila kwa mtu mweye akili ya kufatilia atagundua hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba ya mengi ni Hotel?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ficha aibu, wahaya wenzako wanakucheka kimya kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona rohoo inakuuma hivyo nshomile?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Imepenya Hiyoooooo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusameheane tu ndugu. Wachaga mmezoea sana kutuharibia nyuzi zetu. Na sisi tunawaharibiaga tu kimakusudi. Nafikiri na wanaJF wote washatuzoea na kuona ni kawaida. Kwenye uzi wa Kagera wanajua watapata vitu vya Kilimanjaro and vice versa. Tushakuwa watani sasa. Haya tulieni hivyo hivyo sasa muendelee kuleta picha za maeneo yenu, sio hizo za mitandaoni tusiwaharibie uzi (kama mtaweza lakini maana hapa kwenye picha tunakuwa tumewaroga kabisa)[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila huu Uzi unasema Shamshamra za Sikukuu Kilimanjaro 2019.. Ila naona wewe umeamua kuja na picha za nyumba Muleba huko sijui wapi? AU ni mimi sijaelewa Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe upo kwenye nyumba ya Mengi una shamra shamra za X Mass humo?? Au nasoma vibaya kichwa cha uzi?? Tuwafundisheje nyie washirikina wa Kilimanjaro??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyumba ya mengi ni Hotel?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ficha aibu, wahaya wenzako wanakucheka kimya kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli imepenya maana naona pumzi imewaisha kabisa. Kihele hele chote cha kufungua uzi wa picha za shamra shamra za X Mass mmekosa picha mnakimbilia mitandaoni ku download za insta. Mmebanwa p.u.m.b.u maji shingoni. Namuona luambo mikiadi akijuta angejua asingefungua huu uzi. Ashataka kuufuta bahati mbaya sana JF ngoma haifutiki[emoji23][emoji23][emoji23]

Acha tu tuwasaidie kupiga picha za kwetu Bukoba kwa kuwa kuna migomba na nyie mtasuuza macho
Mbona rohoo inakuuma hivyo nshomile?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Imepenya Hiyoooooo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…