Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Nope...Hapo wanamtafutia kick huyo mapenzi....
Wanadate kweli and rumours are Shamsa ni mjamzito.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nope...Hapo wanamtafutia kick huyo mapenzi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wolper anagongwa na kila mtu hana mwenyewe bhanaaaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu Shamsa ni bingwa wa kuachwa hapatagi bahati hata ya kuvalishwa pete.Bora mwenzie wolper anapataga bahati ya kubadilisha dini na kuvalishwa pete.
Gentleman quote...Mwanaume asiye na msimamo hufanya ujinga huu na lawama kupewa upande mwingine
Mwenzangu!Sio kwa mashauzi yale ya baba Terry.Huyu Dada akiwaga mapenzini ana mashauzi debe, subiri wambwage anatia huruma utafikiri muda wake wakufa umekaribia.
kwakweli na anamrudiaga mungu pia,😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Huyu Dada akiwaga mapenzini ana mashauzi debe, subiri wambwage anatia huruma utafikiri muda wake wakufa umekaribia.
Jamaa kaanza kuwanyoosha muda tu labda kwasababu hakuwa maarufu, nmeishi naye mtaa mmoja guangzhou,ameanza kuwa connected nawasanii tokea enzi hizo hata duka hana.yule aunty ezekieli ashampitia pia,na wengine kibao.usione hawa wasanii wakike wanawaka na kubadilisha pamba deile,wala huwa hawazinunuiHuyu Chidi bwana...
Kaanza juzi kama utani sasa hivi anawabadili tu kama nguo.
Wadada wa bongo movie ukimiliki duka la nguo utawakimbia mwenyewe...
Mwanzoni huwa wanaanza kutangaziana biashara,haupiti muda unasikia ni wapenzi.
Kama huyo Wolper katoka nao wengi sana.
Achana na huyo Chidi Mapenzi,Gee Model alishatoka nae pia.
Ila jamaa alitaka kumuweka ndani kilichomkwamisha ni ukoboaji wa Wolper.
Alijitahidi kwa kila namna akashindwa kumbadilisha.
Mimi huyu Chidi nimeanza kumsikia miaka ya 2012/13 hivi...Jamaa kaanza kuwanyoosha muda tu labda kwasababu hakuwa maarufu, nmeishi naye mtaa mmoja guangzhou,ameanza kuwa connected nawasanii tokea enzi hizo hata duka hana.yule aunty ezekieli ashampitia pia,na wengine kibao.usione hawa wasanii wakike wanawaka na kubadilisha pamba deile,wala huwa hawazinunui
Heheh jamaa alikuwa na bode sana,mkono mkono labda ameacha mazoezi kakonda ndo maana wanahisi hivyo.hata ivyo ukimwi skuiz sio ishu.kansa ndo inaogopwaMimi huyu Chidi nimeanza kumsikia miaka ya 2012/13 hivi...
Watajijua wenyewe bwana.
Rumours are jamaa kaungua
[emoji126][emoji126][emoji126]
Ha ha haaaaaaaa. Atakuwa hawashawishi hata kumvisha peteHalafu Shamsa ni bingwa wa kuachwa hapatagi bahati hata ya kuvalishwa pete.Bora mwenzie wolper anapataga bahati ya kubadilisha dini na kuvalishwa pete.