Shamsa Ford ajibu mapigo baada ya kushukiwa kisa kusema Irene Uwoya mzuri kuliko wanawake wote bongo movie

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Mara baada ya msanii Shamsa Ford kumpost Irene Uwoya na kumsifia kwamba ni mzuri kuliko msanii yeyote yule wa kike wa bongo muvi , amepokea matusi ya nguoni DM kutoka kwa wasanii wenzake kitendo ambacho kimemsononesha sana Shamsa na kudai wasanii waache roho mbaya.

Screenshot_2017-12-19-11-40-47.jpg

Screenshot_2017-12-19-11-40-22.jpg

Ila wanawake daah mmezidi rohombaya.

Yaani kusifiwa kidogo tu mwenzenu mnataka kumtoa roho shamsa[emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Instagram yote yachafuka.

Nikashangaa mbona kwenye page ya boxinghilights hali shwari, kumbe page za bongomuvi ndo zimechafuka
 
Mnaacha kujadili mtaipandisha vipi tasnia iliyokufa mnaleta story za kitoto,wazuri watakuwa bongomovies,,wazuri ndio waliolewa nakutulia kwa waume zao
 
Mara baada ya msanii Shamsa Ford kumpost Irene Uwoya na kumsifia kwamba ni mzuri kuliko msanii yeyote yule wa kike wa bongo muvi , amepokea matusi ya nguoni DM kutoka kwa wasanii wenzake kitendo ambacho kimemsononesha sana Shamsa na kudai wasanii waache roho mbaya.

View attachment 654292

View attachment 654293

Ila wanawake daah mmezidi rohombaya.

Yaani kusifiwa kidogo tu mwenzenu mnataka kumtoa roho shamsa[emoji19] [emoji19] [emoji19]
Ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya kwanza!
 
Wewe ni wa kiume au demu?
 
Back
Top Bottom