Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Irene ni mzuri kiukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hance wa tunda lete lete lete ubuyu!!!!
HahahahahahaHakuna mwanamke mrembo Dunia hii wa kumzidi Mama Gaude wangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena ubuyu og kutoka ZanzibarHance wa tunda lete lete lete ubuyu!!!!
Instagram yote yachafuka.
Nikashangaa mbona kwenye page ya boxinghilights hali shwari, kumbe page za bongomuvi ndo zimechafuka
Naunga mkono hoja.Huwa nashangaa sana mwanaume kushinda instagram.Sijawah hta kuuwaza huu mtandao kutokana na character za watu naowaona wakitumia insta.Instagram was made for cheap ladies. Imejaa ujinga, umasikini Na chuki
ByeeeBasi sawa.
Nae ni mbongo muvi wanaume wa darHakuna mwanamke mrembo Dunia hii wa kumzidi Mama Gaude wangu.
Ila Irene mzuri bhana.