Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Khaaaaa!Ndiye anayesifiwa mzuri huyo?
Ee...kitu chocolate color.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaa!Ndiye anayesifiwa mzuri huyo?
Mwenzangu, nimeshindwa hata nishangaeje!Mhu.Watu bwana
Washaona pa kusingiziaaa aiseee eti manyaunyau
Ona ilo denda live bila chenga,aisee siwez kuwa na Mpenz muigizaji
Msanii wa Filamu Nchini, Mwanadada Shamsa Ford amekana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwana hip hop,Elibarik Emamanuel 'Nay wa Mitego' na kuweka wazi kuwa wako mbioni kuachia filamu yao mpya ya Manyaunyau.
Akizungumza na mtandao huu juzi,Shamsa alisema, kinachoendelea kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni Promosheni kwa ajili ya ujio wa filamu hiyo waliyoshirikiana,iliyopangwa kutoka mwanzoni mwa mwezi Mei mwaka huu.
"Hatuna uhusiano wa namna hiyo zaidi ya uhusiano wa kikazi, kwani tumeshirikiana kuandaa filamu yetu itakayofahamika kwa jina la Manyaunyau na tupo katika hatua za mwisho kabisa na mashabiki wakiiona ndo wataamini nini kilikuwa kinaendelea kati yetu," alisema.
Alisema jina la filamu hiyo limetolewa na Nay mwenyewe kutokana na aina ya filamu yenyewe ambayo inalenga familia 7 zinazoishi katika mvurugano,zikiwa kwenye maisha ya hali ya kati.