Kwanini watu wengi fikra zao wamezielekeza kwenye kuvunjika kwa ndoa kuijenga ndoa....badala ya kudumu kwa ndoa...??!!
Mitazamo hasi juu ya ndoa ndiyo sababu kubwa ya kuvunjika kwa ndoa nyingi.....
Kwani inawafanya wanandoa wengi kushindwa kupambana na changamoto za kwenye ndoa....na hatimaye kuachana kwa kuwa kila mmoja ana mtamazamo hasi juu ya ndoa yao......
Unapoingia kwenye ndoa usiruhusu mawazo hasi yautawale ubongo.....
Kuwa na mawazo chanya ya namna ya kujenga ndoa....hii itapelekea wewe kuwa na uwezo mkubwa wa kupambana na changamoto zilizomo.....na ndoa itadumu miaka na miaka.....
Kumbukeni kuwa mnaenda kuishi wawili ambapo hakuna mkamilifu kati yenu...