Shamsa Ford hatimaye aolewa

Shamsa Ford hatimaye aolewa

Hongera zao sana raha kuolewa na mtu unaempenda
 
1472830316860.jpg
 
Mbona waarabu? Kwani huyu Chidi Benz ni mwarabu wa wapi?
 
Kwanini watu wengi fikra zao wamezielekeza kwenye kuvunjika kwa ndoa kuijenga ndoa....badala ya kudumu kwa ndoa...??!!

Mitazamo hasi juu ya ndoa ndiyo sababu kubwa ya kuvunjika kwa ndoa nyingi.....
Kwani inawafanya wanandoa wengi kushindwa kupambana na changamoto za kwenye ndoa....na hatimaye kuachana kwa kuwa kila mmoja ana mtamazamo hasi juu ya ndoa yao......

Unapoingia kwenye ndoa usiruhusu mawazo hasi yautawale ubongo.....

Kuwa na mawazo chanya ya namna ya kujenga ndoa....hii itapelekea wewe kuwa na uwezo mkubwa wa kupambana na changamoto zilizomo.....na ndoa itadumu miaka na miaka.....

Kumbukeni kuwa mnaenda kuishi wawili ambapo hakuna mkamilifu kati yenu...
 
Katika mademu ninaowapenda ni pamoja na huyu. Mola awalinde kwenye ndoa yao mpya. Na ikitokea Chidi akamwaga manyanga basi nitaingia mimi Inshaallah.
 
Back
Top Bottom