Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Tatizo vijana wanadatishwa na shepu ndio maana wanafeli.Ndoa ya kiba CHALI
Ndoa ya uwoya na dogo janja CHALI
Ndoa ya shamsa ford CHALI
Ndoa ya stamina CHALI
Ndoa ya esha bukhet CHALI
Ndoa ya abdukiba CHALI
ohoooo!!!Tatizo vijana wanadatishwa na shepu ndio maana wanafeli.
Wanaacha kuoa wife material wanatafuta wanawake kwaajili ya show off ndio maana wanafeli.
Dah jamaa kaniwahi nikiikumbuka ile nundu Shamsa aliyobeba hapo nyuma nawewesekaMuigizaji aliopata umarufu kupitia filam ya chausiku ameolewa leo na chidi pamenzi. Ikumbukwe aliwayi kua mpenzi wa Ney wa Mitego wakashindwana.
Hongera sana Chidi kwakupata jiko.
View attachment 392326
View attachment 392327
View attachment 392329
View attachment 392330
HakikaSafi sana
EehDu! Hii ndoa na mungu aibariki idumu hata mwaka
Aisee we jamaa nomaMimi kama mtabiri wa takaka, ninaipa mwaka mmoja tu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]