Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Tatizo vijana wanadatishwa na shepu ndio maana wanafeli.Ndoa ya kiba CHALI
Ndoa ya uwoya na dogo janja CHALI
Ndoa ya shamsa ford CHALI
Ndoa ya stamina CHALI
Ndoa ya esha bukhet CHALI
Ndoa ya abdukiba CHALI
Wanaacha kuoa wife material wanatafuta wanawake kwaajili ya show off ndio maana wanafeli.