Shamsa Ford na wizi wa mapenzi

Shamsa Ford na wizi wa mapenzi

jun255

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2015
Posts
391
Reaction score
280
WASANII NA MAPENZI YA MAIGIZO

Kuna mtu alishswahi kusema " siwezi kuwa na mpenzi mwigizaji kwani nahisi atakua ananiigizia"

Jumapili iliyopita huo msemo nilipata nafasi ya kuushihudia kwa macho yangu!!

Jumapili niliona nikapumzishe akili yangu kidogo baada ya mihangaiko ya wiki nzima.

Nikaenda zangu Mbezi pale Jangwani sea breez kupumzika!

Nikiwa nimepumzika kwenye kabed kamoja pembeni yangu ikaja njemba na dem na kutumia kibed cha pili.

Sikuwa makini nao ila kuna mda nikageuka na kuwaangalia kwani walizidsha mahaba.

Lahaulah! Lakwata! Nikashuhudia njemba moja hivi baunsa iikiwa na Shamsa Ford! Huyu dada mwigizaji.

Kwanza nilidhani nimekosea kuangalia!! Nikaangalia kwa makini ndo yeye.

Walikaa pale zaidi ya masaa matatu!

Jamani kwa jinsi Shamsa alivyokuwa anadeka na kuonesha mahaba utadhani kafa kaoza kwa yule jamaa!! Yaani ungeyaona yale mahaba nadhani ungefikiri wana miaka wakiwa wapenzi.

Nikajiuliza hivi huyu Shamsa si ameachana na Ney wa Mitego juzi tu jaman???! Tuseme mtu anaweza kukolea kwa siku mbili kiasi kile?

Hapo kuna mawilu! Aidha Shamsa alikuwa anamuigizia Ney kipindi yupo nae ila kwa siri alikuwa na huyu mwanaume au pale alikuwa anamuigizia yule mwanaume ili amchune vizuri pesa zake?

Ila kwa yale mahaba! Mmmmmmh!! Hapana si bure!

Hapo ndo usemi wa ukiwa na muigizaji anaweza kuwa anakuigizia nilipouhakikisha!!
 
Ninaomba CV ya huyu binti kwa wanaomfahamu.

Wazazi wake wako wapi?

Ninahtaiji kumfahamu, kwa nia njema kabisa.

Ninaamini hata yeye hatajuta kwamba nimemfahamu. Watoto wengine wana talents lakini wanakosa supports sahihi tu.
 
sema ulichofuata sea breez wewe


kwa maneno haya nahisi hukwenda kupumzika


ulifuata umbea na umbea ukaupata khaaaaa!
 
hahahaha! Ndio maana niliachana na yule muigizaji mng'ataji
 
Shamsa ford ni mkazi wa kundi la wasanii wanaojirahisisha hapa town
List ni ndefu sana
Kifupi wasanii wetu chenga afu wawe makini kifo kipo kila chobingo
 
Jinsia yako ni ipi?

⊙﹏⊙◑ˍ◐∪ˍ∪((?д&#65344😉)(?△&#65344😉Orz(?△&#65344😉((?д&#65344😉)∪ˍ∪((?д&#65344😉)(′ェ`)∩˙▿˙∩(=?∀&#65344😉ヽ(?▽&#65344😉/(?ー&#65344😉
 
Back
Top Bottom