Shamsa Ford na wizi wa mapenzi

Shamsa Ford na wizi wa mapenzi

lazima mjiulize movie moja kwa muhind mil 5 maximum watagawana wasanii sh ngap? watalipia production sh ngap hadi na wao wawe na maisha wanayoishi! kwa wasanii wa kike ni kujiuza na wasanii wa kiume ni ukuwadi kwa hao wenzao wa kike!!!
 
Usiwe celebrity kama hutaki kuandamwa kama hivi!
 
Shamsa ford ni mkazi wa kundi la wasanii wanaojirahisisha hapa town
List ni ndefu sana
Kifupi wasanii wetu chenga afu wawe makini kifo kipo kila chobingo

Hebu nipe hyo orodha ili nichangamkie fursa za kuwagonga japo wawili maana nna za urithi cjui nizfanyie nini..
 
Mleta mada na yeye alikwenda hapo kitafuta bwana.
 
Kwa raha zake raha ya upele upate mkunaji
 
Back
Top Bottom