Shamsa Ford: Nay ni Mwanaume wa Ndoto za Wanawake Wengi..Ila zamani Nilikuwa Simpendagi

Shamsa Ford: Nay ni Mwanaume wa Ndoto za Wanawake Wengi..Ila zamani Nilikuwa Simpendagi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford amemmwagia sifa Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kuwa hakuwahi kujua kama ni mkarimu huku akidai kuwa anafaa kuwa mume!

Shamsa ambaye aliachana na mume wake tangu October mwaka jana, ameiambia Bongo5 na Milaard Ayo kuwa aliombwa na Nay ashirikishwe katika filamu yake.

“Sisi ni washkaji sema Nay ana kazi yake ya filamu ndio akaona mimi ndo nafaa, Hakuna kitu chochote zaidi ya kazi,” amesema Shamsa.

“Kabla ya kupata nafasi ya kuongea na Nay nilikuwa namuona ni mtu fulani mgomvi mgomvi, in short nilikuwa simpendagi! Kama unakumbuka aliwahi kutuponda Bongo Movie na mimi kuna siku nilihojiwa na kituo kimoja nikamponda sana! Lakini nimekuja kukutana na Nay nimegundua ni mtu tofauti sana. Sasa hivi mimi namzungumzia Emmanuel is man ambaye kila mtu au kila mwanamke anaweza akamhitaji kuwa naye! Ana huruma ana upendo, he is a good man, kama nilivyosema mwanamke yoyote atapenda kuwa naye. Kwahiyo ni husband material,” aliongeza Shamsa.
 
Huku mtaani kwetu kuna mallaya wa kike naye huwa anaongea maneno kama hayo kwa kila mwanaume!!..mallaya duniani kote wanafanana tabia
 
Ndio shida ya kutegemea papuchi kuishi mjini ney kwa lipi jamani ama ndio uchawote wa ford cwapendi wote
 
Alisema LULU kuhongwa si kazi, kazi kumfanya muhongaji asichoke kukuhonga. Na hizi sifa za kijinga ni za kumfanya Ney aendelee kuwa muhongaji wake, haa kweli bongo movie ndio basi tena. R.I.P KANUMBA.
 
Alisema LULU kuhongwa si kazi, kazi kumfanya muhongaji asichoke kukuhonga. Na hizi sifa za kijinga ni za kumfanya Ney aendelee kuwa muhongaji wake, haa kweli bongo movie ndio basi tena. R.I.P KANUMBA.

Kuna connection gani kati ya comment yako na Kanumba?
 
Kuna msemo wa zamani "anatutangizia "ili siku ya siku aweke wazi kuwa jamaa ndio kila kitu haya ndio bongo movie hiyo usanii hata katika maisha halisi
 
Kuna connection gani kati ya comment yako na Kanumba?
tangu aage dunia, bongo muvi nazo zimekufa. nadhani alimaanisha hivo. ila jina lako, duuh!!ke***???[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom