USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Huyu mwigizaji akijibu maswali ya waendesha kipindi cha Ubaoni cha Channel ya Sinema Zetu anasema live kuwa ana mume anaishi naye ila wapo wapo tu, na kama atapata mtu mwingine wataachana aolewe.
Huwa akili wanapeleka wapi?
USSR