Kwahiyo 300k kalipia mbususuπ?Amejaribu kuonesha kuwa Wanaume tunapaswa kutafuta hela kila siku.
Hiyo wanayo Wanawake wengi sana siku hizi.
Tena bora yeye amesema live ila kuna wengine hawasemi lakini wanakiuza kila siku, ukitaja dau tu unaenda naye
Nakumbuka kuna jamaa angu alitembea naye huyu Shamsa kwa 300k tu ingawa alipitia kwa dalali
Yawezekana anamlea mmewe sasa kachokaAchani kuingilia maisha ya watu. Vipi kama hayo ndo makubaliano aliyonayo na huyo bwanaake?!
Ndiyo, si unajua kuna watu wana fantasy ya kula masuperstarKwahiyo 300k kalipia mbususuπ?
π€£π€£π€£ Kumbe?Amejaribu kuonesha kuwa Wanaume tunapaswa kutafuta hela kila siku.
Hiyo wanayo Wanawake wengi sana siku hizi.
Tena bora yeye amesema live ila kuna wengine hawasemi lakini wanakiuza kila siku, ukitaja dau tu unaenda naye
Nakumbuka kuna jamaa angu alitembea naye huyu Shamsa kwa 300k tu ingawa alipitia kwa dalali
Ahaha je kama ana maanisha mme wa mtu? π€£Hawa ma celeb wa Tanzania uchafu huyu dada nilikuwa namuona ana akili lakini bure kabisa .
Huyu mwingizaji akijibu maswali ya waendesha kipindi cha ubaoni Cha channel ya cinema zetu anasema live kuwa anamme anaishi naye ila wapo wapo tu ila kama atapata mtu mwingine wataachana aolewe .
Huwa akili wanapeleka wapi akipigwa ngeta utasikia eti ukatili wa kijinsia
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Sasa anti Ezekiel si mtu mzima miaka 52 kwann asijue kujibu Kwa hekima?Ahaha je kama ana maanisha mme wa mtu? π€£
Celebrate ambae nasikiliza interview zake Aunt ezekiel anajua kujibu maswali kwa ufasaha