Shamsa Ford: Vijana wengi wa kiume wa Dar ni wambea, chawa na VibenTen.

Mbona sijaona neno Dar?Marioo na midananda wapo kila sehemu hata AR wazee wa madini wana wapambe aka Chawa!
 
Wakikosa umbea wa kuongea ili waishi mjini wanaanza kutoa ZIZI
 
Hata mwanamke asipokuwa na kitu kichwani sehemu za siri zitaumia sana piga mitungo toa minmba haya mambo hayana upande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…