Shamsa, Wellu Sengo ndani ya "BIFU" zito

Shamsa, Wellu Sengo ndani ya "BIFU" zito

Binamu huyo jb wanamgombania nasikia shamsa shoga yake kipenzi mke wa jb huku anamchukulia nasikia jb ni Noma kuna siku nilikua saluni wasaani wakanza kusemana wakasema jb mh wanamwaga mambo yao hadharani loh

Wakasema nini hicho na wewe si utuambie mambo gani hayo kurushana roho....
 
attachment.php

Hapo Shamsa lazima amchunie huyu mrembo maana akiwa nae karibu akawihii kumzidi kete maana demu ana kasura ka supu kama Seven.

Daah huyu manzi ni nomaaa...ila sijui kakosa nn hadi kaingia katka bongolala movies
 
walivyokua wanajishaua sasa?!!urafiki wa bongi muvi hatarii
 
Na Kama wanagombana Kwa JB na tumbo lile hata kuiona haioni... Au ndio vijisent ....
 
Na Kama wanagombana Kwa JB na tumbo lile hata kuiona haioni... Au ndio vijisent ....

Wala msitishike JB Kama anawala yeye anajisifia Mzee wa kupiga deki huko chini ndio sifa yake kubwa... Lakini swala la kupiga pumzi hana!
 
Hapa ndio mambo ya Johari na Chuchu Komoa nikukomoe.
 
Huyu welu mi nampenda sana...mzuri kuliko wanawake wote duniani
 
Back
Top Bottom