Uchaguzi 2020 Shamsia Aziz Mtamba aisimamisha Mtwara Vijijini, Wananchi wasema Jimbo hili la Mtwara Vijijini unasubiri kuapishwa

Uchaguzi 2020 Shamsia Aziz Mtamba aisimamisha Mtwara Vijijini, Wananchi wasema Jimbo hili la Mtwara Vijijini unasubiri kuapishwa

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
IMG_20200831_070424_862.jpg


SHAMSIA AZIZ MTAMBA ALIVYOSEPA NA KIJIJI MTWARA VIJIJINI

Mgombea Ubunge Jimbo la Mtwara Vijijini Mhe. Shamsia Aziz Mtamba ameimamisha Mtwara Vijijini kwa kukusanya wananchi wa Jimbo hilo waliokuja kumsikiliza Mbunge huyo ambaye anasubiri kuapishwa.

Pia, Mhe Shamsia amemuombea kura mgombea urais wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ili aweze kushinda kiti cha Urais

#MtwaraVijijiniNiShamsiaMtamba

#MtwaraVijijiniNiCUF
#ChaguaShamsiaChaguaProf.Lipumba
 
Kwa CUF hii ya sasa, heri nanyi muwe na sera ya "biriani" pengine wananchi baadhi waliolala njaa watawasikiliza.

But ni move nzuri kuwepo na watu wa kuwapigia chupuo kwenye mitandao kama ulivyofanya mtoa mada.
 
Hizo picha ngoja nionane na watu wa IT wanihakikishie kama ni original
 
Back
Top Bottom