GE2025 Shamsia Mtamba, amechukua fomu ya ubunge jimbo la mtwara Vijijini kupitia CUF

GE2025 Shamsia Mtamba, amechukua fomu ya ubunge jimbo la mtwara Vijijini kupitia CUF

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini anayemaliza muda wake, Mhe.Shamsia Mtamba, amechukua fomu ya kutetea nafasi ya ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama chake cha Wananchi-CUF.

Shamsia amechukua fomu hiyo katika ofisi za Chama cha CUF wilaya ya Mtwara.

Amesema dhamira yake ya kuchukua fomu na kugombea nafasi hiyo, ni kuendelea kuwatumikia wananchi wa eneo hilo ambao wanauhitaji kwenye maeneo ya afya, elimu na miundombinu ili kumalizia yale aliyoyaanza.
1751456817170.png
 
Back
Top Bottom