Shamte wa mama Dai anawawakilsha vyema wanaume wa Tanga

Shamte wa mama Dai anawawakilsha vyema wanaume wa Tanga

Domo anapenda KIKI sana zisizokuwa na TIJA kwa Jamii,Sasa yanini kuwachoresha Bi Mdashi na Shemela kwa kuwapa magari ya KIKI? Nitakuwa wa Mwisho kuamini kwamba Dai kawapa zawadi yale magari ya 2018.....
 
Kamaliza shule ya msingi Kawawa iliyopo Kigoma Ujiji 1978 lakin bado ana miaka 50

Akina Mama sijui wanaanza kuhesabu Miaka ya kuzaliwa wakishavunja ungo?
Du kama kamaliza Primary 1978 Mpaka sasa imepita 41 tangu amalize primary,mara nyingi primary wanamaliza na miaka 14-17 kwa enzi hizo,kwahiyo roughly ana miaka kama 55 na ushee.
 
Ni aibu kwa wanaume kuzungumzia mambo ya watu aisee, mbona macron na mkewe hamzungumzii.
 
Wanaume wa Tanga kwa kupenda mitelezo hamjambo, mwenzenu kakimbilia kwa bibi yake kisa hela, kazi hamtaki kufanya mnataka kuteleza tu

[emoji23][emoji23][emoji23]

Ningekuwa Diamond walahi huyu shamte ningemtimua maana anamdanga mama Dai live live[emoji16][emoji16]

Wanaume wa Tanga,Lindi kazi hampendi mkija mjini msingi kiuno
Akina shamte ni wandengeleko wenyeji wa rufiji na lindi..
 
Ningekuwa Diamond walahi huyu shamte ningemtimua maana anamdanga mama Dai live live[emoji16][emoji16]
Diamond hana moral authority ya kufanya hivyo, hasa ukizingatia na mwenyewe alikuwa na mwanamke aliyemzidi karibu miaka 10! [/QUOTE]
Wanaume wa Tanga,Lindi kazi hampendi mkija mjini msingi kiuno
Unatuonea, watu kwa siku tunalala chini ya saa 5 (hatujisifii, shida zinatulazimisha) na the rest ni kazi! Kazi! Kazi! Halafu unasema hatupendi kazi?! Ila asikuambie mtu bhana, ukikutana na limwanamke lililokuzidi umri lina raha zake! Mi mwenyewe wakati nipo 20 nilikutana na limwanamke lilionizidi miaka kadhaa na lilikuwa limeshazaa!! Kosa nililofanya ni kulikamia kwa kuona nikiliendea na shows za kivulana lingenitoa nishai wakati limwanamke lenyewe lilikuwa lisema hovyo! Matokeo yake nikaingia na sululu na mashoka kwenye bucha lenye steki peke yake! Baada ya mwisho wa mauzo, siku ya pili mwenye bucha akasema hanitaki tena kwenye bucha lake, ingawaje nilitamani nikatoe huduma tena na tena, na tenaaaaa!!

Mi nashangaa, siku hizi vivulana chini ya miaka 25 vinatafuta vumbi la Congo! Sijui vimerogwa hivi vitoto!!
 
Akina shamte ni wandengeleko wenyeji wa rufiji na lindi..
Yah, akina Shamte wapo sana Lindi na wilaya ya Rufiji bila kusahau Zanzibar! Na kwa staili hiyo, vile vile sitashangaa nikisikia hata Tanga nako wapo!
 
Back
Top Bottom