Lookin good....
Lookin good....
nitamfahamisha hilo ili alielewe.Nalog offShangazi yako nae mpana, jaribu kumfamisha shangazi yako kua hiyo ni mkeo na ndio ulie mchagua na unampenda kwa moyo wako wote,
na yeye akiwa kama shangazi ajiheshimu sababu huyu mkeo ni mwanamke kama yeye akamjibu maneno yasio faa atasema ametukanwa? mwambia awe mstarabu na ukizingatia yeye ni mtu mzima....
ile kesi imekwisha,namaliza ile nakutana na hii nyingine.Nalog offWe kweli una vituko... Ile kesi yako na wife ya kumfulia dada wa jiran chupi imeisha? Ehehehe leo shangaz kamfananisha mkeo na bundi!...... Mhh story tu hizi bana..
hapana bibie kuhusu my wife wangu kwa kweli nampenda ila kisura kwa kweli ni mbaya,na lengo la kumuoa yeye ilim niwe peke yangu nisishee na wengine,nilikuwa na mwanamke aliyetikisia kitaa ilikuwa ni ugomvi daily ndio maana nikaamua kumuoa huyu ili kuepukana na mabalaa ya wapenda vizuri.Nalog offDahhhh
Samahani mkuu
Sijui kwanini ila kadiri
Ninavyosoma replay zako ni kama humpendi
Au hii story ni ya kutunga ..
Anyway kama ni kweli nampa pole mkeo.
Anahitaji msaada wako na upendo wako. .
sasa than ever before. Unamtihani mgumu
Wa kumfanya awe comfortable na mwili wake tena ..
Huyo shangazi yako mtafutie hata hoteli
Kwa sasa. .
The last thing you want ni mkeo ku loose
Self confidence. . Inaweza kuku peleka wee
Na familiar yako kubaya..
Kila lakheri ..
kakubali kurudi nyumbani kesi imekwisha.Nalog offMkeo alisha kusamehe kesi ya kumsssuiza chupi neighbor wako wa chumba cha pili?
hapana si ya kutunga,ila ni kweli kwa sura mke wangu ni mbaya ndio maana hapo sikumpinga shangazi ila aliponipayukia mbele yake ndicho kilichonikera,angetakiwa aniulize kwanini nimefikia hatua hiyo ningempa majibu.Nalog offnahisi hii story si ya kweli
hapana bibie kuhusu my wife wangu kwa kweli nampenda ila kisura kwa kweli ni mbaya,na lengo la kumuoa yeye ilim niwe peke yangu nisishee na wengine,nilikuwa na mwanamke aliyetikisia kitaa ilikuwa ni ugomvi daily ndio maana nikaamua kumuoa huyu ili kuepukana na mabalaa ya wapenda vizuri.Nalog off
bibie mie nataka shangazi yangu amuombe msamaha huyu my wife wangu kwasababu yeye hakuomba azaliwe vile.Nalog offNdio umtoe shangazi yako hapo....
ni hivi unajiona wewe katika hiyo avatar yako? kwahiyo mtu akiniuliza wewe ni mzuri au mbaya mimi nitamjibu ya kuwa wewe ni mzuri kisura,lakini mke wangu kisura ni mbaya,hapa simkashifu ila naongelea hali halisi,na lengo la kumuoa ili niepukane na kushea mke wangu na wanaume wengine.kuhusu upendo kwa kweli nampenda sana my wife wangu bana.Nalog offSwali ...
Unamtusi au niseme una mkashifu mkeo
Na hapo hapo wasema unampenda
haiingii akilini.. naomba unieleweshe
Ni upendo wa kivipi tu huo ??
hapa namaanisha kisura ni mbaya ila tabia kwa kweli siwezi kumfananisha na mashalugobe yote nilyowahi kupita.Nalog offUnakubali kua wife wako mbaya? au ndio sababu hukutaka kumweleza shangazi yako alichofanya ni kosa? unampenda kweli huyo wife wako au unamchukulia kama mfanya kazi wako wa ndani?
nashukuru kwa ushauri wako chanya,nitafanya hivyo.Nalog offsidhani kama itakuwa rahisi kwa shangazi yako kumuomba msamaha wa moja kwa moja ila cha msingi kaa na shangazi yako umweleze wewe kama wewe hujapendezwa na kitendo alichofanya na yeye itakuwa ni rahisi kukuomba msamaha na utafikisha ujumbe kwa mwenza wako na baada ya hapo waweke pamoja na maongezi yawe ya kawaida. ...
muhimu inatakiwa kwanza shangaz yako ajitambue na atambue nini na kwa nini umefanya maamuzi
hakuna shaka nitampa chaka alirudi uswazi haraka iwezekanavyo.NAlog offhuyo shangazi yako inaonyesha anakutamani wewe,
kama vipi mpe mahitaji yake arudi home,
kwanini kupeleka watu washamba kwenye nchi za watu.
mimi ndugu yangu sina uwezo wa kukuaminisha ya kuwa ndio au hapana akili yako itakavyokutuma basi endelea kusimamia kila unachokiamini.Nalog offNimesoma thread yote all in all hii story ya kutunga hamna kitu hapa,hakuna cha shangazi wala wife hata kama mkeo ni mbaya as you want us to believe sitaki kuamini kwamba shangazi yako ni mpuuzi kiasi cha kusema mkeo ni mbaya kama bundi mbele yake.Nalog off