Shangazi yangu amfananisha mke wangu na bundi

Shangazi yangu amfananisha mke wangu na bundi

hahahaahah
Mwali unavituko kwakweli loohh..
Unajua mi nilikua sijui bundi ndio nini, nilipoambiwa nikawa nafikiria sana, mtu akifanana bundi anakuaje? nikaenda google image nikakuta hiyo picha... Maajabu ya Mungu kweli.
 
Kisura kwa kweli ni mbaya lengo langu ni kuogopa kuchukuliwa mke na mapedejee,lakini huyú kwasababu ni mbaya basi nagonga peke yangu. Nalog off
Aisee!

Sasa unalalamika nini kama shangazi kasema ukweli wake halisi? Nalog off..
 
shangazi yako ni mchawi uzuri wa mwanamke ni tabia si sura
 
Wewe mbona kila siku mimi nashindwa kukuelewa! Juzi hapa umetuambia mkeo kenda kwao kwa sababu umesuuza chupi ya jirani yako wa kike leo hiyo huyo huyo mkeo kawa BUNDI kwa mujibu wa shangazi yako. Sasa labda nikuulize swali, unaandika tamthilia au unatuletea michezo ya kuigiza hapa. Kati yenu woote watatu mwenye akili hapo ni huyo shangazi yako tu. Na ndio maana amembaini bundi miongoni mwenu, hebu wacha mchezo wako hapa
 
Back
Top Bottom