Shangazi yangu amfananisha mke wangu na bundi

thanks indeed,nitampa kitaa fasta ili atambae.Nalog off
 
Usihangaike na shangazi; yeye sio mwenye kupitisha vigezo vya nani uoe nani usioe; bali wewe tu; so kama umeridhika hata kama ana sura kama yangu hapo kwenye avata.weye kula ile roho yako inachopenda
umegongelea msumari wa mwisho katika sanduku la huyu shangazi yangu.Nalog off
 
kuna wazazi wengine sijui wanafikiriaa nini, na watu kama hao ukiwaangalia wao ndio makwisuuu, yaan wabaya kwa sura na maumbile
mie kanitibua,sijui alifikiri nini kufanya vile.Nalog off
 
Unajua standard ya ubaya ni sura ya Wassira, my waifu wako anaweza kuwa anampiku Wassira? Kama hamfikii basi huyo ni mzuri tu.
mkuu hebu naomba uniwekee picha ya Wassira ili niifananishe,ila kwa unavyonitisha inawezekana my wife wangu akawa bomba kuliko huyo jamaa.Nalog off
 




Kwenye hilo la ubaya naona kimsingi unakubaliana na shangazi yako (na pengine huoni tatizo!). Vipi huyo mkeo naye anajijua kama ni 'mbaya'? Labda kidogo unaweza kushare na sisi hapa...ni kwanini uliamua kumwoa huyo mwanamke 'mbaya'?
nimeamua kumuoa yeye ili kuepuka ugomvi na wanaopenda vizuri.Nalog off
 
nimemuambia amuombe msamaha my wife wangu ili kusiwe na matatizo ktika nyumba yangu.Nalog off
 
Kwani shangazi yako ndo kaoa. Mwambie mkeo yeye ndo mke na si shangazi, ikiwezekana mrudishe nayeye akamtunze mumewe huko alikomwacha. Hakumtendea haki kabisa mkeo, km kulikuwa na linalomkera boora hatan angengoja mkiwa wawili
 
dah shangazi yako ni kabila gani.....?
 

alafu huyu mke wako mpya ni yule mpangaji mwenzio uliyemfulia Chu-Pi .... hadi ukaachana na mkeo
 


alafu huyu mke wako mpya ni yule mpangaji mwenzio uliyemfulia Chu-Pi .... hadi ukaachana na mkeo
hapana,huyu ndiye yule aliyeondoka baada ya lile songombingo ila amerudi kwa sasa niko naye.Nalog off
 
hapana huyu ndiye yule aliyeondoka baada ya lile songombingo ila amerudi kwa sasa niko naye.Nalog off

sasa mbona unasema ni mke wako Mpya kumbe ni yuleyule....

anyways mwambie shangazi umempenda hivohivo ..
 


sasa mbona unasema ni mke wako Mpya kumbe ni yuleyule....

anyways mwambie shangazi umempenda hivohivo ..
kwangu huyu ni mke mpya wa zamani tulishaachana zamani.Nalog off
 
hiyo nchi unayooishi ambayo mke huyo huyo aligombana na mpangaji mwenzako kisa chupi................cjui ikoje mana yani hata kama unakaa uswaz gani wa huku hauko ivo loh!.....................
ok umesema huyu mpya labda yule aliyegombana ulimuacha nn???????
back ktk thread yako nimempenda sana shangazi yako kinoma kwani sa ka bundi ndio asiambiwe loh!
mwache shangazi ajinafasi kwa mijiraha yake loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…