JICHO LA 3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 356
- 62
Unajua standard ya ubaya ni sura ya Wassira, my waifu wako anaweza kuwa anampiku Wassira? Kama hamfikii basi huyo ni mzuri tu.
Kisura kwa kweli ni mbaya lengo langu ni kuogopa kuchukuliwa mke na mapedejee,lakini huyú kwasababu ni mbaya basi nagonga peke yangu. Nalog off
Habari zenu. Nimemwita shangazi yangu kipenzi ili aje kumuona my wife wangu mpya,basi baada ya kumuona na kumtambulisha kwa mke wangu huyo,shangazi wala hakunichelewesha akaniambia mbele ya my wife wangu,kwanini nimeoa mke mbaya kama bundi? Basi mke wangu yuko kwenye mgomo,hamtaki shangazi yangu awepo hapa nyumbani kwetu na kuniambia nimrudishe nyumbani(Tz) nifanyeje jamani shangazi yangu aendelee kuwepo hapa kama mwezi? Nalog off
My wife kweli ni mbaya,ila shangazi yangu nafikiri kafanya hivi baada ya kujua ya kuwa mie nampenda sana yeye. Nalog off
Habari zenu. Nimemwita shangazi yangu kipenzi ili aje kumuona my wife wangu mpya,basi baada ya kumuona na kumtambulisha kwa mke wangu huyo,shangazi wala hakunichelewesha akaniambia mbele ya my wife wangu,kwanini nimeoa mke mbaya kama bundi? Basi mke wangu yuko kwenye mgomo,hamtaki shangazi yangu awepo hapa nyumbani kwetu na kuniambia nimrudishe nyumbani(Tz) nifanyeje jamani shangazi yangu aendelee kuwepo hapa kama mwezi? Nalog off
Bibie inaonesha we ni mzuri sanahiyo nchi unayooishi ambayo mke huyo huyo aligombana na mpangaji mwenzako kisa chupi................cjui ikoje mana yani hata kama unakaa uswaz gani wa huku hauko ivo loh!.....................
ok umesema huyu mpya labda yule aliyegombana ulimuacha nn???????
back ktk thread yako nimempenda sana shangazi yako kinoma kwani sa ka bundi ndio asiambiwe loh!
mwache shangazi ajinafasi kwa mijiraha yake loh!
Shangazi kaniharibia sana. Nalog offhiyo nchi unayooishi ambayo mke huyo huyo aligombana na mpangaji mwenzako kisa chupi................cjui ikoje mana yani hata kama unakaa uswaz gani wa huku hauko ivo loh!.....................
ok umesema huyu mpya labda yule aliyegombana ulimuacha nn???????
back ktk thread yako nimempenda sana shangazi yako kinoma kwani sa ka bundi ndio asiambiwe loh!
mwache shangazi ajinafasi kwa mijiraha yake loh!
Lengo langu sio shangazi yangu amtathimini my wife wangu bali aje kumtambua. Nalog offMambo mengine bwana sasa wewe shangazi yako unamwambia akuthaminishie mke
inamaana ulitaka majibu mawili mzuri au mbaya ndo hivo sasa kakwambia kama bundi......unamlaumu nini
kwani wewe lengo lako ninini baadaya kuthaminishiwa mke kwaufupi hauna uhakika naye au vipi
bs anti yako huo ndo mtazamo wake aliouona.
Nakuambia kaharibu kweli. Nalog offMke wako yuko sahihi kabisa,mbona huyo shangazi yako anakuwa c muungwana bwana kanikera sana huu sio wakati wa kuchagulia wake bwana,damn
Ni kweli mkuu. Nalog offpole sana,inawezekana shangazi yako anaanza kuzeeka.
Bahati yake shangazi yangu huyu,mke wangu sio muongeaji. Nalog offhalafu wakwe wa namna ya shangazi yako wanapataga na wakuwatukana.....angeyameza aloyatapika!
mi nalog in loh!Shangazi kaniharibia sana. Nalog off
ni hivi unajiona wewe katika hiyo avatar yako? kwahiyo mtu akiniuliza wewe ni mzuri au mbaya mimi nitamjibu ya kuwa wewe ni mzuri kisura,lakini mke wangu kisura ni mbaya,hapa simkashifu ila naongelea hali halisi,na lengo la kumuoa ili niepukane na kushea mke wangu na wanaume wengine.kuhusu upendo kwa kweli nampenda sana my wife wangu bana.Nalog off