Shangazi yangu hadi leo ananichukia kisa mimi niligoma ku-tune Redio Maria, badala yake nilikomaa na XXL ya Clouds FM

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Hadi leo huyu shangazi yangu ananichukia kwa sababu mwaka 2007 aliniomba ni-tune Radio Maria ili askilize kipindi cha 'chaguo lako' ambapo mimi niligoma kufanya hivyo kwani kipindi hicho kilikuwa kinafanyika muda mmoja na kipindi nikipendacho cha XXL cha Clouds FM.

Shangazi alinyong'onyezwa sana ule uamuzi wangu kiasi kwamba kila akija kututembelea nyumbani anaonfika siku ya pili yake. Juzi alimweleza dada yangu jinsi anavyonichukia, lakini sababu hakutaja. Mimi nikakumbuka kuwa nilimnyima fursa ya kusikiliza kwaya (liturujia).

Ati, Mimi nikae nisikikize nyimbo kama mshipi, mchanganyo mchanganyo, acheni kukata tamaa n.k, halafu niache kusikiliza muziki wa kidunia, kweli?! Hapana bhana!

Monetary doctor mkatukumeni what's up?

Dr am 4 real PhD.
 
Kuhusu Redio kwizera FM kutoka kagera mhaya humwambii kitu
 
Radio Maria Tanzania sauti ya kikristo nyumbani mwako,

Tuna adhimisha miaka 30 sasa

Nakumbuka kabla ya sala ama baada ya sala za jioni

Kusali ni heri wakati wa uchungu kukumbuka uwingu waleta na saburi

Ni amri ya mwokozi kusali daima kuliko yote tufanye ni vema

Huyo shangazi awe wa usseri rombo utajutraaaaaa

Ndrooo hivyo babanguuuu
 
Miaka ile nakumbuka watangazaji wao walikuwa Leonia Odilo Bishoge, Titus Amigu, Agnes Shayo Hiza n.k.

Kipindi kile najua ulikuwa unagaragara kwenye tumbo la mama yako.
 
Hadi leo huyu shangazi yangu ananichukia kwa sababu mwaka 2007 aliniomba ni-tune Radio Maria ili askilize kipindi cha 'chaguo lako' ambapo mimi niligoma kufanya hivyo kwani kipindi hicho kilikuwa kinafanyika muda mmoja na kipindi nikipendacho cha XXL cha Clouds FM.

Shangazi alinyong'onyezwa sana ule uamuzi wangu kiasi kwamba kila akija kututembelea nyumbani anaonfika siku ya pili yake. Juzi alimweleza dada yangu jinsi anavyonichukia, lakini sababu hakutaja. Mimi nikakumbuka kuwa nilimnyima fursa ya kusikiliza kwaya (liturujia).

Ati, Mimi nikae nisikikize nyimbo kama mshipi, mchanganyo mchanganyo, acheni kukata tamaa n.k, halafu niache kusikiliza muziki wa kidunia, kweli?! Hapana bhana!

Monetary doctor mkatukumeni what's up?

Dr am 4 real PhD.
Ukimuwekea radio maria anaona amefika mbinguni. Wazungu walituweza na hizi dini. Kuna mwanafalsafa wa kale alisema "dini ni kwa ajili ya wale wenye uwezo mdogo wa kufikiri" Unaambiwa kuna maisha baada ya kifo yenye raha na unashangilia tu kama zuzu. Maisha ni haya haya.
 
Kweli maisha ni haya haya, usipo-enjoy ukiwa hai ndo basi.
 
Mwambie aache chuki akatubu, la sivyo eh!
 
matatizo yako yalianzia mbali kijana
 
Chukiiii humu umiza anae iifadhii kaka ndege shangazii anatakiwa awe na moyo wa kuachilia..

Shangazii anatakiwa awe na moyo wa uvumilivu na huruma kwa kijana wake...

Kaka Mimi nakumbuka niliweka 📼 tape ya wimbo UNAO IMBWA "MACHONI KAMA WATU MOYONI HAWANA UTU IMANI IMETOWEKA MABAYA YANA ONGEZEKA "" MBELEEEEEE YA WAGENI WALIO KUJA KUTEMBEA NYUMBANI mama akanikataza😊😁
 
Kwa nini mkuu? Wimbo ulikuwa unawalenga hao wageni?
 
Ukimuwekea radio maria anaona amefika mbinguni. Wazungu walituweza na hizi dini. Kuna mwanafalsafa wa kale alisema "dini ni kwa ajili ya wale wenye uwezo mdogo wa kufikiri" Unaambiwa kuna maisha baada ya kifo yenye raha na unashangilia tu kama zuzu. Maisha ni haya haya.
Ila kwenye hizo hizo dini, kwa mfano Yesu anasema anaongelea kuhusu Leo. Yesu hazungumzii kesho maana huna uhakika wa kuifikia, ni sawa na anasema, maisha ya mtu yapo Leo, Jana ilishapita, kesho huna uhakika nayo, hivyo furahia maisha yako.

Usisahau, dini ndiyo imewafikisha wazungu hatua nzuri walizopo Leo, hadi marekani wakawa na kauli mbiu IN GOD WE TRUST.

Waafrika kushindwa usisingizie dini, ni upumbavu wetu tu.

Rejea hili, je, Kila msomi Afrika anafuata dini? Si Kuna wasiofuata dini? Je, wasiofuata dini yoyote wamefikia hata nusu ya mafanikio ya wazungu?

Acha kusingizia dini kwa upumbavu wenu waafrika. Na usisahau, ni dini hizohizo ndizo zilianzisha taasisi za kielimu ili ziwatoe ushamba.

Nimechafukwa....
 
Mchukulie doti kama mbili, mpe na kitu anachopendelea, hata kama ni kuku, kinywaji ams kiasi cha cash .....

Nb...sijamaanisha kwamba hvyo vitu hana, ni namna tu ya kumlainisha umtake radhi
 
Back
Top Bottom