SHANGINGI LA HUMAN TRAFFIC LA MBUNGE LABADILISHWA JINA LIKIWA NA POLISI KUSHIRIKIANA NA TRA

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
IMG_3770.jpeg

It is unbelievable ngoma imechezeshwa na TRA na POLISI kuokoa jina la Mbunge Koka anaefanya biashara ya binadamu ambae yuko Chama Tawala.

Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi hatuyajui na hatujui wahusika. Funny enough mpaka chombo chetu cha kodi nacho kinashiriki sasa michezo hii........WTF goin on this country?
 
View attachment 3080330

CCM ni genge la matapeli
 
Ilimrsdi yupo ccm, hata akamatwe na madwwa sheria hazimuhusu
 
Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi hatuyajui na hatujui wahusika. Funny enough mpaka chombo chetu cha kodi nacho kinashiriki sasa michezo hii........WTF goin on this country?
Shame! Ila kusema kweli CCM acheni haya mambo yenu yanayowapaka matope kila uchwao!
Uovu ukifanywa na mwanaccm njia zote hutumika kumlinda!
Imefikia mahali sasa tunaamini kuwa "uovu na ccm ni damudamu"
 
Weka ushahidi 😄
Johnthebaptist utaulizaje swali kama hili wakati amesema wazi kwamba hili gari limebadilishwa usajiri likiwa mikononi mwa Polisi baada ya tukio la usafirishaji wa wahamiaji haramu? Hivi Watanzania tuna uwezo wa kufikiri au tunaona kila shutuma zinazotolewa juu ya ouvu nchini unatoka vyama vya upinzani?

Hivi huyu anaedai ni gari lake, anapata wapi ujasiri wa kusema ni gari lake wakati amebadilisha jina gari ikiwa polisi? Kwanza alitakiwa afunguliwe mashitaka na TRA kwa kununua gari bila kulipa levy zinazotakiwa na kubadilisha usajiri ndani ya siku zilizoainishwa
 
Back
Top Bottom