Johnthebaptist utaulizaje swali kama hili wakati amesema wazi kwamba hili gari limebadilishwa usajiri likiwa mikononi mwa Polisi baada ya tukio la usafirishaji wa wahamiaji haramu? Hivi Watanzania tuna uwezo wa kufikiri au tunaona kila shutuma zinazotolewa juu ya ouvu nchini unatoka vyama vya upinzani?
Hivi huyu anaedai ni gari lake, anapata wapi ujasiri wa kusema ni gari lake wakati amebadilisha jina gari ikiwa polisi? Kwanza alitakiwa afunguliwe mashitaka na TRA kwa kununua gari bila kulipa levy zinazotakiwa na kubadilisha usajiri ndani ya siku zilizoainishwa