CCM ni genge la matapeliView attachment 3080330
It is unbelievable ngoma imechezeshwa na TRA na POLISI kuokoa jina la Mbunge Koka anaefanya biashara ya binadamu ambae yuko Chama Tawala.
Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi hatuyajui na hatujui wahusika. Funny enough mpaka chombo chetu cha kodi nacho kinashiriki sasa michezo hii........WTF goin on this country?
Mwacheni huyu mtamuua bureInasikitisha sana....Jamaa wa Twita Fortunatus atalifanyia kazi na kutupa majibu.
Ilimrsdi yupo ccm, hata akamatwe na madwwa sheria hazimuhusuView attachment 3080330
It is unbelievable ngoma imechezeshwa na TRA na POLISI kuokoa jina la Mbunge Koka anaefanya biashara ya binadamu ambae yuko Chama Tawala.
Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi hatuyajui na hatujui wahusika. Funny enough mpaka chombo chetu cha kodi nacho kinashiriki sasa michezo hii........WTF goin on this country?
Muulize chura kiziwi anajua mchezo mzima. Kumbuka wa unge wote wa pwani ni mawaziriWeka ushahidi 😄
Siyo woteMuulize chura kiziwi anajua mchezo mzima. Kumbuka wa unge wote wa pwani ni mawaziri
Koka ni mtu dhulmati sanahuyo jamaa na biashara zote hizo......bado anakutwa na skendo kama hii
Shame! Ila kusema kweli CCM acheni haya mambo yenu yanayowapaka matope kila uchwao!Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi hatuyajui na hatujui wahusika. Funny enough mpaka chombo chetu cha kodi nacho kinashiriki sasa michezo hii........WTF goin on this country?
DahhhKoka ni mtu dhulmati sana
Johnthebaptist utaulizaje swali kama hili wakati amesema wazi kwamba hili gari limebadilishwa usajiri likiwa mikononi mwa Polisi baada ya tukio la usafirishaji wa wahamiaji haramu? Hivi Watanzania tuna uwezo wa kufikiri au tunaona kila shutuma zinazotolewa juu ya ouvu nchini unatoka vyama vya upinzani?Weka ushahidi 😄