Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
acha juroooka pumba za mashudu, yaani Diamond alingane na alikiba malipo ...?Mwenzako anachoangalia ni ngawira na si hayo mashangwe yenu
Hata wamshangilie vp huyo simba cjui swala lakini malipo niyale yale anayopewa yeye mond na Alikiba
Ingekuwa mwitikio wa mashabiki ndiyo malipo hapo sawa ila mashabiki hawamlipi