Shangwe analopewa Diamond ni tofauti kabisa na Ali Kiba

Mwenzako anachoangalia ni ngawira na si hayo mashangwe yenu

Hata wamshangilie vp huyo simba cjui swala lakini malipo niyale yale anayopewa yeye mond na Alikiba

Ingekuwa mwitikio wa mashabiki ndiyo malipo hapo sawa ila mashabiki hawamlipi
acha juroooka pumba za mashudu, yaani Diamond alingane na alikiba malipo ...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…