Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wafuasi wa Dkt. Kizza Besigye na Hajji Obeid Lutale walilipuka kwa shangwe nje ya Mahakama ya Nakawa baada ya Hakimu Mkazi Mkuu Christine Nantege kutoa uamuzi kuwa mahakama hiyo haina tena mamlaka ya kusikiliza kesi yao, kufuatia kesi hiyo kuhamishiwa rasmi katika Mahakama Kuu.
Uamuzi huo ulipokelewa kwa nderemo, vifijo na ngumi hewani huku umati ukionyesha furaha yao, wakisema kuwa huo ulikuwa ni hatua iliyochelewa sana kuelekea haki.
Uamuzi huo ulipokelewa kwa nderemo, vifijo na ngumi hewani huku umati ukionyesha furaha yao, wakisema kuwa huo ulikuwa ni hatua iliyochelewa sana kuelekea haki.